Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Iko hivi: Tundu Lisu kumgusa Magufuli ni kugusa makali ya ncha ya Almasi utake usitake itakuchana Chana tu
pressure kubwa ambayo dhahabu iliyonayo ukiigusa lazima wewe uumie
Tundu Lisu ni kichaa aliyejificha kwenye mche wa muhindi huku kichwa chake kikiwa nje kimeonekana na watu woote
yaweza kuwa IQ ya Lisu ni ndogo Sana hajui alipo na anapoelekea au yaweza kuwa Cerebrum yake haifanyi kazi vizuri naomba aelimishwe vizuri apate kujua Magufuli ni Nani
Vinela anavyohongwa na kugeuka vuvuzela vinamharibia future yake na watoto wake
Jemima MremboWizi, ukatili, ukandamizaji wa demokrasia vinamwangusha
Pia wizi wa kuraWizi, ukatili, ukandamizaji wa demokrasia vinamwangusha
Mashabiki wa Muuaji ni wagonjwa wanaohitaji dawa ya kuambiwa Ukweli.Kumshambulia hayati ni kipenzi cha mioyo ya watanzania wasio mafisadi na vibaraka wao, hapo amejichanganya...
Atausema huo ukweli lkn mwisho wa siku hataambulia uungwaji mkono ambao ndio lengo kuu la mikutano yake...hawezi kushindana na upepo wa hayati akashinda..Mashabiki wa Muuaji ni wagonjwa wanaohitaji dawa ya kuambiwa Ukweli.
Lissu ni daktari asiyehofia kugawa dozi ya ukweli. Wagonjwa wakitaka wanywe, wasipota waache. Lakini dozi lazima igawiwe ili Taifa lipone.
Kama ni halali kusema madudu ya Mkapa, haiwezi kuwa haramu kusema madudu ya Magufuli. Na wote ni marehemu!
Unaandika wazo hili ukiwa Mirembe hospital. Leo umeruhusiwa kutumia simu!Iko hivi: Tundu Lisu kumgusa Magufuli ni kugusa makali ya ncha ya Almasi utake usitake itakuchana Chana tu
pressure kubwa ambayo dhahabu iliyonayo ukiigusa lazima wewe uumie
Tundu Lisu ni kichaa aliyejificha kwenye mche wa muhindi huku kichwa chake kikiwa nje kimeonekana na watu woote
yaweza kuwa IQ ya Lisu ni ndogo Sana hajui alipo na anapoelekea au yaweza kuwa Cerebrum yake haifanyi kazi vizuri naomba aelimishwe vizuri apate kujua Magufuli ni Nani
Vinela anavyohongwa na kugeuka vuvuzela vinamharibia future yake na watoto wake
Ni wakati muafaka CDM,kuchukua uamuzi wa kumpima akili huyu mwamba,maana risasi 16Iko hivi: Tundu Lisu kumgusa Magufuli ni kugusa makali ya ncha ya Almasi utake usitake itakuchana Chana tu
pressure kubwa ambayo dhahabu iliyonayo ukiigusa lazima wewe uumie
Tundu Lisu ni kichaa aliyejificha kwenye mche wa muhindi huku kichwa chake kikiwa nje kimeonekana na watu woote
yaweza kuwa IQ ya Lisu ni ndogo Sana hajui alipo na anapoelekea au yaweza kuwa Cerebrum yake haifanyi kazi vizuri naomba aelimishwe vizuri apate kujua Magufuli ni Nani
Vinela anavyohongwa na kugeuka vuvuzela vinamharibia future yake na watoto wake
Magu ameishaondoka,hapa cha kufanya ni kutumia nafasi iliyopo kupata wafuasi wengi bila kujali wanatokea upande upi.Unaandika wazo hili ukiwa Mirembe hospital. Leo umeruhusiwa kutumia simu!
Ulafi wa kupindukia wa Magufuli umejulikana asante Tundu Lissu kwa ujasiri mkubwa! Mtu alikuwa analala chumbani na billioni 100?!!! Tulitawaliwa na jitu la hovyo mno!Iko hivi: Tundu Lisu kumgusa Magufuli ni kugusa makali ya ncha ya Almasi utake usitake itakuchana Chana tu