Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Mwamba kweli kweli, Mtanganyika kweli kweli na Mtanzania halisi, hakuwahi kumuita mzungu au mwarabu wajomba zake. Safari zake zilikuwa kuzunguka Tanzania na uko alisalimu kila kabila alilokutana nalo njiani kwa lugha ya hiyo kabila, wanasema alijua lugha hizo wakati akizunguka Tanzania kujenga barabara akiwa Waziri wa Ujenzi.
Hebu tumsikilize. Je, umemis salamu hizo 2025?
#KatibaMpyaOkoaBandariZetu
Hebu tumsikilize. Je, umemis salamu hizo 2025?
#KatibaMpyaOkoaBandariZetu