Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Masters amesoma akiwa RaisMmh hakuwahi kwenda Ulaya wakati Masters yake alisomea Uingereza....umezidisha chumvi sana aisee[emoji38][emoji38][emoji38]
Soma tittle ya thread
umefura mpk umekufuru Mbwiga na bado utanyooka Tu,Tutolee hiyo maiti yako.
Hata wewe one day utakua maiti,huwezi kuishi milele,punguza ujinga sio sifa,hata kama ni chuki,sio kwa kiwango hicho aisee.Tutolee hiyo maiti yako.
Lisu atapinga hiiMwamba kweli kweli, Mtanganyika kweli kweli na Mtanzania halisi,hakuwahi kumuita mzungu au mwarabu wajomba zake,Safari zake zilikuwa kuzunguka Tanzania,na uko alisalimu kila kabila alilokutana nalo njiani kwa lugha ya hiyo kabila,wanasema alijua lugha hizo wakati akizunguka Tanzania kujenga barabara akiwa Waziri wa Ujenzi,ebu tumsikilize,je umemis salamu hizo 2025.
#KatibaMpyaOkoaBandariZetu
LAZIMA AKUMBUKWE KWA MABAYA KWANI NAYO ALIWATENDEA WATANGANYIKATutamkumbuka kwa mazuri na sio mabaya
Tanganyika dola ilishazikwa.....Mwamba kweli kweli, Mtanganyika kweli kweli na Mtanzania halisi, hakuwahi kumuita mzungu au mwarabu wajomba zake. Safari zake zilikuwa kuzunguka Tanzania na uko alisalimu kila kabila alilokutana nalo njiani kwa lugha ya hiyo kabila, wanasema alijua lugha hizo wakati akizunguka Tanzania kujenga barabara akiwa Waziri wa Ujenzi.
Hebu tumsikilize. Je, umemis salamu hizo 2025?
#KatibaMpyaOkoaBandariZetu
Alikuwa mwizi na kibaka kama wengine wa ccm, kwenda ulaya au kubaki chato, hakukufanyi Uwe Bora,Mwamba kweli kweli, Mtanganyika kweli kweli na Mtanzania halisi, hakuwahi kumuita mzungu au mwarabu wajomba zake. Safari zake zilikuwa kuzunguka Tanzania na uko alisalimu kila kabila alilokutana nalo njiani kwa lugha ya hiyo kabila, wanasema alijua lugha hizo wakati akizunguka Tanzania kujenga barabara akiwa Waziri wa Ujenzi.
Hebu tumsikilize. Je, umemis salamu hizo 2025?
#KatibaMpyaOkoaBandariZetu
Umeandika ujinga na upumbavuTutolee hiyo maiti yako.
[emoji7]Hata wewe one day utakua maiti,huwezi kuishi milele,punguza ujinga sio sifa,hata kama ni chuki,sio kwa kiwango hicho aisee.
Mwabudu mizimu ktk ubora wakoMwamba kweli kweli, Mtanganyika kweli kweli na Mtanzania halisi, hakuwahi kumuita mzungu au mwarabu wajomba zake. Safari zake zilikuwa kuzunguka Tanzania na uko alisalimu kila kabila alilokutana nalo njiani kwa lugha ya hiyo kabila, wanasema alijua lugha hizo wakati akizunguka Tanzania kujenga barabara akiwa Waziri wa Ujenzi.
Hebu tumsikilize. Je, umemis salamu hizo 2025?
#KatibaMpyaOkoaBandariZetu