Hayati Magufuli ni shujaa anayepigana na walio hai

Nimeshindwa cha kuandika, Afrika kunasehemu hatupo sawa, hasa kwetu hapa, MUNGU MPUMZISHE KWA AMANI JPM
 

Maana ingine ya neno shujaa ni mtu asiye na uoga.

Maana ya pili ni mtu katili, muuaji...
 
Mama Samia ana nafasi nzuri ya aidha kuchochea mpasuko huu uzidi au kuchochea umoja wa kitaifa.

Akiamua kuchochea mpasuko anaweza kufanya hivyo kwa kukaa kimya bila kutoa kauli yoyote ya kuwakemea wale wote wanaobeza mafanikio ya JPM. Anaweza kujifanya awamu yake haina unasaba na awamu ya mtangulizi wake (JPM) na kujifanya awamu yake ni awamu yake. Anaweza kujifanya anawateua wale vinyamkera wanaomsema vibaya JPM, na kuwapuuza wale wanaomwona JPM kama shujaa wa taifa. Akifanya hivyo atauchochea huo mpasuko kuwa mkubwa zaidi, na kama ambavyo nilishawahi kuandika huko nyuma, JPM kafa lakini kaacha jeshi kubwa sana nyuma. Ni jeshi lenye spirit na ni jeshi la hatari sana maana linapigania tunu za kitaifa alizokuwa akizisimamia Magufuli. Sasa kama wanafikiri kwa vile JPM kafa wanaweza kufanya lolote wanalojisikia basi na waanze waone.

Mama pia anawez kuchochea umoja wa kitaifa kama akitaka, na naamini hilo linaweza kumpa nafasi ya kuwawin pro-Magufuli na kuwawin anti-Magufulis, kama atatweak mambo fulani hivi, hasa yanayohusu uhuru wa maoni. Vinginevyo awe tayari kupumzika baada ya 2025 tupate nafasi ya kuweka "jiwe" mwingine.
 
Kamfufue mzee baba
 
Ni mbwamwitu aliyejificha kwenye ngozi ya kondoo
 
"Hatujawahi kuwa na mtu wa hovyo namna hii" alisikika mtu mmoja.
 
Angeacha vyombo vya habari viwe huru haya yote yasingetokea
Wangekosoa na yangekuwa yameshasahaulika
Alijifanya msafi sana kumbe kibaka kama wengine
Acha watu watoe machungu na liwe fundisho.
Umeiweka poa sana🙏!
 
YAANI I cannot say more. Hivyo vinavyoonekana- atu wenye ualbino walikuwa wamekwishasahau machungu, ujambazi wa kutumia silaha ukomwapimsasa hivi? Nidhami kazini. Kwa kweli endapo Mama Hutafuata haya basi sahau.
 
Sasa kina nani waliokimbia hebu lete data sio blah blah tu! Fanyeni kazi, liopeni kodi inayostahili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…