Hayati Magufuli Shujaa alifanya makosa kutomfunga Zitto Kabwe kwa makosa ya uchochezi aliyofanya. Kufuga wanafiki ni dhambi kubwa

Okeeeee, sikujua kuwa kipindi cha president magufuli, alikuwa na uwezo wa kumfunga mtu na SIO court of law iliyokuwa na uwezo huo, next order ipo mbioni kupelekwa kwenye ile address, ni mchanganyiko wa LNG &Coal
 
Zitto ni marahemu tu ka wengine, maana alishajitanabaisha kuwa wanaomlilia Dkt Magufuli wakazikwe naye Chato so na yeye afanye awezalo azuie kifo ambacho lazima afe tu na siku ya kufa afe taratibu kwa kufa ganzi miguu, mikono kiuno awe anakunya kitandani na hakuna wa kumhudumia huyu nyoka mkubwa
 
Mtu alipotosha hadharani kinyume na sheria ya takwimu na sheria ya cyberView attachment 2571276
Mwaka 2015 mpinzani pekee aliyebaki bungeni wakati wengine wakigoma baada ya kugomea ujio wa Dr Shein bungeni ni Zitto Kabwe .

Ikumbukwe kwamba Wapinzani waligoma baada ya Shein kushirikiana na Jecha kupora ushindi wa Maalim Seif Zanzibar

Magufuli akamsifia sana Zitto kwa kubaki bungeni na kwamba ni mzalendo , Angewezaje kumkamata mtu wake
 
Okeeeee, sikujua kuwa kipindi cha president magufuli, alikuwa na uwezo wa kumfunga mtu na SIO court of law iliyokuwa na uwezo huo, next order ipo mbioni kupelekwa kwenye ile address, ni mchanganyiko wa LNG &Coal
Siyo kufunga tu hata kuua aliua sana,yeye ndiye alikuwa sheria yenyewe

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Okeeeee, sikujua kuwa kipindi cha president magufuli, alikuwa na uwezo wa kumfunga mtu na SIO court of law iliyokuwa na uwezo huo, next order ipo mbioni kupelekwa kwenye ile address, ni mchanganyiko wa LNG &Coal
Wewe ni mjinga
 
Hahahaha Dua la kuku hilo kwani wewe hutakufa
 
Zito analiwa polepole na natural weathering haina haja ya kuhangaika nae
 
Okeeeee, sikujua kuwa kipindi cha president magufuli, alikuwa na uwezo wa kumfunga mtu na SIO court of law iliyokuwa na uwezo huo, next order ipo mbioni kupelekwa kwenye ile address, ni mchanganyiko wa LNG &Coal
Kwani mkuu, Prosecutors na Judges wanateuliwa na nani?
 
Ukiona wote hawa wanakuwa picked up na president elewa unaishi in a shithole country, hawa ilitakiwa nao waombe nafasi hizo na wafanyiwe interview thr parliament!,poleni middle class wa kitanzania uwezo wa kufikiri ni upumbavu mtupu
 
Kwa jibu hili, haishangazi sifuri huwa ni nyingi kuliko daraja la kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…