Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Mtu alipotosha hadharani kinyume na sheria ya takwimu na sheria ya cyber
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 2015 mpinzani pekee aliyebaki bungeni wakati wengine wakigoma baada ya kugomea ujio wa Dr Shein bungeni ni Zitto Kabwe .Mtu alipotosha hadharani kinyume na sheria ya takwimu na sheria ya cyberView attachment 2571276
Siyo kufunga tu hata kuua aliua sana,yeye ndiye alikuwa sheria yenyeweOkeeeee, sikujua kuwa kipindi cha president magufuli, alikuwa na uwezo wa kumfunga mtu na SIO court of law iliyokuwa na uwezo huo, next order ipo mbioni kupelekwa kwenye ile address, ni mchanganyiko wa LNG &Coal
Wewe ni mjingaOkeeeee, sikujua kuwa kipindi cha president magufuli, alikuwa na uwezo wa kumfunga mtu na SIO court of law iliyokuwa na uwezo huo, next order ipo mbioni kupelekwa kwenye ile address, ni mchanganyiko wa LNG &Coal
Hahahaha Dua la kuku hilo kwani wewe hutakufaZitto ni marahemu tu ka wengine, maana alishajitanabaisha kuwa wanaomlilia Dkt Magufuli wakazikwe naye Chato so na yeye afanye awezalo azuie kifo ambacho lazima afe tu na siku ya kufa afe taratibu kwa kufa ganzi miguu, mikono kiuno awe anakunya kitandani na hakuna wa kumhudumia huyu nyoka mkubwa
Jibu swali anayemfunga mhalifu ni rais au mahakamaWewe ni mjinga
Tutakufa ila siwezi kudhihaki Dkt MagufuliHahahaha Dua la kuku hilo kwani wewe hutakufa
Kwani mkuu, Prosecutors na Judges wanateuliwa na nani?Okeeeee, sikujua kuwa kipindi cha president magufuli, alikuwa na uwezo wa kumfunga mtu na SIO court of law iliyokuwa na uwezo huo, next order ipo mbioni kupelekwa kwenye ile address, ni mchanganyiko wa LNG &Coal
Ukiona wote hawa wanakuwa picked up na president elewa unaishi in a shithole country, hawa ilitakiwa nao waombe nafasi hizo na wafanyiwe interview thr parliament!,poleni middle class wa kitanzania uwezo wa kufikiri ni upumbavu mtupuKwani mkuu, Prosecutors na Judges wanateuliwa na nani?
Fair enough naomba kuelimishwa ili nijue!,ila kwa jibu hili nakuona wewe una upumbavu wa cancer level 4,means unakufa sio kutibikaWewe ni mjinga
Watu wanamtegemea Mungu ila kuna wengine wanamtegemea Magufuli.Mtu alipotosha hadharani kinyume na sheria ya takwimu na sheria ya cyberView attachment 2571276
Nje ya mada. ShwainWatu wanamtegemea Mungu ila kuna wengine wanamtegemea Magufuli.
Watu wasiojulikana waliishia wapi?
Kwa jibu hili, haishangazi sifuri huwa ni nyingi kuliko daraja la kwanza.Ukiona wote hawa wanakuwa picked up na president elewa unaishi in a shithole country, hawa ilitakiwa nao waombe nafasi hizo na wafanyiwe interview thr parliament!,poleni middle class wa kitanzania uwezo wa kufikiri ni upumbavu mtupu
Duh!Siyo kufunga tu hata kuua aliua sana,yeye ndiye alikuwa sheria yenyewe View attachment 2571308
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app