Hayati Magufuli tayari ameandika hadithi yake, si jambo rahisi kuifuta

Umesahau pia aliua demkrasia, kuhalalisha wizi wa kura, kununua wapinzani, kupunguza furaha kwa watanzania. Ndiye rais wa kwanza kuogopwa kuliko wote waliopita. Tukiandika historia tuangalie pande zote Mabaya na mazuri ndiyo itanoga zaidi. Wewe umeandika kwa kumtetea zaidi lakini kwa waliovunjiwa nyumba zao na waliopata majanga katika utawala wake hawawezi kukuelewa.
 
Tatizo ni kwamba hadithi ya Magufuli sio nzuri, ina mengi ya hovyo kuliko mazuri.
Kabla ya rais Mandela wa RSA ni kana kwamba hakukuwepo marais. Walikuwepo kibao. Waliijenga RSA tunaifahamu. Wanakumbukwa kwa ubaguzi mbaya sana wa rangi!
 
Bahati mbaya sana kwa sababu tumezoea shida, kwa nchi za Kiafrika kiongozi akitimiza wajibu wake basi huwa tunamuona kama "mdogo wake Mungu"...jinsi ambavyo huwa tunamwaga sifa kedekede
 
Andiko refu lisilo na maana yoyote kubwa zaidi ni kielelezo cha kile alichokisema Prof Assad
"Acquired Stupidity"
 
Jinga ww, kwenye awamu hii nyinyi wachumia tumbo hamna nafasi kabisa,,,kaufukueni uho mzoga kama mnampenda mkaenao sebuleni kwenu
 
It is 1145 hours and not 11:45hours ! Do you see the difference you MATAGA?
 
umeona kupost huu uharo kwenye group la uvccm haitoshi ukaamua ulete jf. mataga bhana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mjane sukule.
Unateseka ukiwa wapi?
Mfuate huko alipo.
 
Mkuu kuna shule inaitwa Milambo Boys ni shule kongwe sana hope unaijua, iko katika mkoa wa Tabora. Waweza niambia kumejengwa nini pale kipya au kipi kimeboreshwa toka mwaka 2000 mpaka leo? Huu ni mfano mmoja wapo nikianzia point yako ya kwanza. Ushauri, tumia elimu yako kujikomboa na siyo kjjipendekeza kwa Marehemu Jiwe. Nyie ndiyo mliyoikomboa elimu badala ya kukombolewa nayo.
 
Hapana point yako ya mwisho napingana nayo, yaani nimwombee huyo mtu, hapana omba peke yako kwani wakati yuko hai alikataza watu kumwombea Lissu then leo uniambie nimwombee yeye, HAIWEZEKANI
 
Kwenu binadamu hamna jema kwenu, sijui ni Lini mtampata Rais ambaye ndo chaguo lenu na mkasema sasa yatosha
 
Hizi nguvu za kuandika hivi mnazipata wapi huku kila leo mkilalamikia nguvu.
 
tunaomba hadithi ya utawala bora na kusimamia haki pia
 
Kodi zetu watanzania na mikopo kutoka kwa wazungu ndo zimefanya hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…