Hayati Magufuli tayari ameandika hadithi yake, si jambo rahisi kuifuta

"Nilifungiwa akaunti zote za bank za kampuni yangu. Nikafungiwa akaunti zote za biashara. Hata akaunti yangu binafsi ya mshahara wa ubunge ilifungwa toka mwaka 2018, nikazuiwa kupokea mshahara ambao ni haki yangu kisheria" Mhe.Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari.

#MyTake;
Wakati wa JPM ndugu wa kiongozi mmoja mstaafu waliniambia baba yao alifungiwa akaunti zake zote za benki ili kumfanya ateseke na aamue kurudi CCM. Sikuamini kirahisi, lakini kwa maelezo haya ya leo naamini utwala wa Magufuli ulikua wa KIIMLA. Unazuiaje akaunti za mtu bila sababu zozote za msingi? Ili umkomoe? Ili aunge juhudi? ili ateseke? Na akiteseka wewe unapata faida gani? Shame.!
 
Kaandika history mbovu, kuliko wa tangulizi wake hafai kuingwa. Nadhani ata mashuleni ifundishwe alikuwa kiongozi mnafiki kwa kujifanya ni mzalendo, dictator uchwara, fisadi, asiyependa kupigwa, mkabila n.k
 
Mleta mada anajua ile ya jiwe ni hadithi tu!! Siyo kweli....

Hapo juu umenisaidia sana kuuumbe ndo lilivo kuwa lile jambazi???

Tena lilikuwa halilali....kuhangsika usiku kucha! Hasa Dsm hawakumpenda kabisaaaaa hata kumsikia....kuwakomoa akahamishia ikulu dodoma ili dsm wakome...lkn wapi ndo kwaaanza iko ivi....si kafa..
 
Utamkumbuka sana kwa vile alimpa mwanao cheo cha kuwa Kamanda Mkuu wa TAKUKURU, Valentino Mlowola
 
Kwa kweli Mungu anaipenda nchi yetu sana. Huyu shetani aliiba uchaguzi wa Serikali za Mitaa wote wa 2019, akaiba uchaguzi Mkuu wa wabunge na Rais wote 2020.

Lengo lake la mwisho ni kuwa na Bunge ambalo lingebadili ukomo wa utawala hapo mwaka 2025.

Ila Mungu kamuonyesha kazi, hakumuacha avuke siku 114 baada ya kujitangaza Rais pale Oktober 25, 2020
 
Tee!! eteeteee!! Safi sana mleta mada....Wenzake wanaandika Historia iliyo tukukuka!! ...yeye ameacha hadithi za hekaya za abunuwasi....upigaji...uuaji....kujipendekeza hata hao Mawaziri hawakumpenda kiviile!! walipaswa kujiuzuru wooote!

Ndugai sawa aende....
 
Ben Saanane,Alphonce Mawazo na Azory Gwanda walikuwa na familia.
 
Hivi wewe chawa baada ya jiwe kuondoka mbona umepotea ?
 
Ingependeza kama ungeweka baya hata.1 ili kukamilisha ubinadamu wake...
 
25: Ndiye aliyeyatengeneza madubwasha Bashite na pacha wake Sabaya.
 
Umemaliza kila kitu✌️👏
 
Hizi hadithi zenu munatuumiza moyo Sana sisi Chadema!
 
SAWA UMEELEZA VIZURI, ILA TUJIBU SUALI MOJA TU, KWA NINI ALIMFUKUZA KAZI CAG MSTAAFU PROF ASSAD BAADA YA KURIPOTI KUWA KUNA KA TRILIONI KAMOJA TU HAKAONEKANI?
 
Kaandika history mbovu, kuliko wa tangulizi wake hafai kuingwa. Nadhani ata mashuleni ifundishwe alikuwa kiongozi mnafiki kwa kujifanya ni mzalendo, dictator uchwara, fisadi, asiyependa kupigwa, mkabila n.k

Yani upo kama mchawi, kuanzia mwaka jana apr mbaka leo una like mojatu kama mwanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…