Hayati Mkapa: Huwezi kukwea mnazi kwa mkono mmoja

Hayati Mkapa: Huwezi kukwea mnazi kwa mkono mmoja

leonaldo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
2,583
Reaction score
3,182
Rais Mstaafu wa awamu ya rtatu, Marehemu Benjamin William Mkapa alitanabahisha kuwapo kwa umuhimu wa kuheshimu mawazo mbadala na kuyafanyia kazi inapobidi, lakini ni kama tumepuuza busara hii sasa upinzani ni kama uadui, kushirikiana nao ni kama usaliti na wala hatuoni aibu kusema hivyo, watanzania wenzangu tumekwama wapi?

Maendeleo hayana chama.

 
Back
Top Bottom