Hayati Mzee Mandela naye pia alimkubali sana Michael Jackson

Lakini alikuwa mtu mkubwa na maarufu sidhani kama kuna mwafrika mwenzie angemfanyia mbaya walikuwa wanmkubali.

Ila kwa makaburu kufanya unyama hiyo inawezekana majamaa yameuwa weusi wengi

Ila cha ajabu eti alivyotoka jela akawasamehe na kuwapa nafasi nyeti serikalini..huyo sio kiongozi kabisa
Ndo tuaambiwa eti baba wa Africa
 
Aaahh kuliwa tope hatukuwa tuna maanisha kuwa kaliwa na blacks wenzake bwana .by the way Mimi sina haika na hizo skendo but kwa mapito aliyoyapitia mandela chini ya utawala wa chuma wa makaburu hilo linawezekana sana 100% .... Imagine kama baadhi ya watawala madikteta wapo tayari kuua wapinzani wao ili tu waendelee kubai madarakani ndio watashidwakufanya jambo dogo kama hilo ?
 
MaNdela alibanwa kikombe alichokuwa anakipitia kilikuwa ni kikubwa mnooo zaidi ya simtank .. Kukaa kifungoni takribani miongo mitatu usifanye masihara mkuu tena with torture alikuwa hana option nyingine zaidi ya kukubali masharti ya mabeberu .. I bet kwa yale mapitoaliyo yapitia hata tugekuwa mimi na wewe tingefanya kama vile alivyo fanya yeye ili kuinusuru nafsi
 

Ila nae alivyotoka jela alikuwa mlaini laini sana kila alichoambiwa na mzungu alikubali ..possibly kaburu alikuwa na siri zake nyingi sana ndo maana akabaki kuwa mpole na kuwaachia migodi
 
Kweli lakini kama ndo hivyo si angelegeza toka mwanzo tu ili apewe serikali angali kijana?
Kwanini imefika uzeeni ndo amelegeza.
Kwanza viongozi wenzake waliokuwa uraian ni walikuwa wanafki na kuwalamba miguu makaburu..ili wapumue.huku mwenzao akiozea jela.
Bila kina nyerere hao kina Mandela wangekuwa wanakula vichapo mpaka Leo.
Jamaa wana roho ya uuwaji waliyopandikizwa na mkaburu kwao kuua sio kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…