Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Lakini alikuwa mtu mkubwa na maarufu sidhani kama kuna mwafrika mwenzie angemfanyia mbaya walikuwa wanmkubali.Thubutuuuu sio kwa makabulu halafu wakati ule uminywaji wahaki za kibinaadu ulikuwa ni mkubwa mnooo wajua hapa tunaongelea mambo yaliyokuwa yanatokea miaka ya 60 to 80s .. Makaburu yalikuwa a roho mbaya kwelikweli wesingeweza kuwa wema kiasi hicho kwa watu weusi
Ila kwa makaburu kufanya unyama hiyo inawezekana majamaa yameuwa weusi wengi
Ila cha ajabu eti alivyotoka jela akawasamehe na kuwapa nafasi nyeti serikalini..huyo sio kiongozi kabisa
Ndo tuaambiwa eti baba wa Africa