Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Kama uchumi ulikuwa kwa kasi ile retention fee ilikuwa ya nini,au ndiyo iliyokuza uchumi.Miaka ya 2016 hayati Rais Magufuli aliunda bodi ya mishahara lakini hakuna matokeo chanya yaliyoonekana...
DS First YearWe are all trapped in vicious cycle 0f poverty.. kwahiyo tupo kwenye tragedy 9f the commons
Kama umesikia iundwe, ujue haikuwepo. Tulikuwa tunapigwa porojo tu!Miaka ya 2016 hayati Rais Magufuli aliunda bodi ya mishahara lakini hakuna matokeo chanya yaliyoonekana....
Bodi za Mishahara na Maslahi ktk utumishi wa umma zilikuwepo kuanzia kipindi cha Kikwete hadi Cha Magufuli 2020 zilimaliza muda wake na kuvunjwa na majukumu yake kuhamishiwa Menejimenti ya Utumishi wa Umma ili kupunguza gharama na ili kwenda na maelekezo ya kuuhisha miundo ya serikali. Inawezekana Ndiyo maana Rais anaelekeza hivyo zianzishwe tena ili kumshauri ipasavyo kwa weledi, umakini na bila kuegemea upande wowote kuhusu masuala ya mishahara na maslahi ya watumishi. Ushauri:Waziri Mohamed Mchengerwa afuatilie kwa karibu utekelezaji wa maelekezo haya.Kama umesikia iundwe, ujue haikuwepo. Tulikuwa tunapigwa porojo tu!