Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
Mapema juma hili Issa Hayatou, Muafrika aliyeongoza Soka kwa mudamrefu pengine kuliko mtu yeyote hapa Afrika alipata zali lingine lakukaimu Urais wa Shirikisho la Soka la Dunia, Fifa.
Hili ni zali kwani tayari Mkameruni huyo ni Rais wa Shririkisho laSoka Afrika, Caf kwa miaka 27 sasa, amekuwa Makamu wa Rais wa Fifatangu 1992 na duru zinaonesha bado yupo yupo!
Hayatou amekaimu rasmi nafasi hiyo, baada ya Rais wa sasa, SeppBlatter kusimamishwa na Kamati ya Maadili kupisha uchunguzi wa tuhumazinazomkabili.
Siku kadhaa tu baada ya 'Mfalme' huyo wa Soka Afrika kushika wadhifahuo, upande wa pili wenye mrengo wa Kiulaya ukaanza visa, Hayatouakaundiwa zengwe kuwa hawezi kuongoza kwa kuwa afya yake si nzurisana.
Bila kupoteza muda, Caf nao wakajibu mapigo kwa kutoa taarifa rasmina kupinga shutuma za 'wabaya' wa Hayatou, wakisema kuwa mheshimiwayuko fiti kulienesha Shirikisho hilo huku wakikiri kuwa ana matatizoya muda mrefu ya figo ambayo yamekuwa yakimlazimu kusafishwa figomara kwa mara.
Tukiizingatia taarifa rasmi ya Caf, tunaona mambo mawili; mosi, kunakujipendekeza na kusifiana ujinga kama ilivyo desturi ya wanasiasawote, pili, kutokukubali ukweli kuwa Hayatou anaumwa na ingepaswaapumzike hata kama ni mwenzetu.
Wakati nafanya utafiti wa makala hii, nikapitia kazi yangu ya kwanzakwenye gazeti moja la Kiingereza, Oktoba 2012, iliyoangazia kwa kinamadhaifu ya Hayatou kiutawala na kinidhamu, wakati huo ambapo ndiokwanza atangaze kuwa angegombea tena Urais wa Caf mwaka 2013, naakafanya hivyo!
Makala ile ilichambua kwa kina uhusika/utuhumiwa wa Hayatou kwenyekashfa kadha za rushwa; ya kwanza ikiwa kupokea faranga za Ufaransa100,000 ili aipigie chapuo kampuni ya ISL kwenye tenda ya haki zamatangazo ya Kombe la Dunia.
Kashfa nyingine kubwa ikiwa ni tuhuma za mwaka 2011, za kupokea dolaza Marekani 1.5m, yeye na mjumbe mwenzake wa Kamati ya Utendaji yaFifa, Jaques Anouma, ili waibebe Katar kwenye kinyang'anyiro chauenyeji wa Kombe la Dunia 2014.
Yawezekana Waafrika wanajivunia kwa kuwa Muafrika mwenzao ameula,lakini inasaidia nini kama Muafrika huyo amekuwa na msaada kidogosana kwa soka la Afrika, zaidi ameonesha hulka yake ya tamaailiyopitiliza?
Tukiacha habari ya ugonjwa, busara za Hayatou hazijathibitika kwenyeuongozi wake wa miaka 27 Caf, na miaka 23 ya kuwa Makamu Rais waFifa.
Mwaka 2010, chini ya uongozi wake, Togo ikafungiwa kushirikimashindano ya Caf kwa miaka miwili kwa kile kilichodaiwa kuwa nikuingilia kwa Serikali kwenye masuala ya soka baada ya Timu ya Taifaya Togo kushambuliwa kwa risasi huko Cabinda, wakielekea kushirikiAfcon 2010 nchini Angola.
Maamuzi haya yalizua gumzo kubwa miongoni mwa jamii ya soka , endapobusara ilitumika ukizingatia kuwa msafara wa Togo ulipoteza watuwawili kwenye shambulizi hilo la waasi.
Kwa muda sasa tumeshuhudia msisimko wa mashindano ya Afrika kwa ngaziya taifa na vilabu ukiporomoka kwa kasi kubwa, licha ya kuongezekaubora, zawadi, teknolojia na promo ya vyombo vya habari, bado idadiya wafuatiliaji imekuwa ikipungua kila mwaka, huku mashindano yaUlaya yakichukua nafasi kuba hapa nyumbani Afrika.
Hatuwezi kumtenga Hayatou na kuporomoka kwa mvuto wa soka la Afrikakwa kuwa yeye ndio mwenye maamuzi ya juu na amekuwa akiona kuwaanastahili kugombea tena kila uchaguzi wa Caf unapowadia tangu mwaka1988.
Kiongozi wa aina hii, anapopanda cheo na kushika madaraka makubwa, sijambo la kufurahia hata kama akiwa ni nduguyo wa damu, seuze Muafrikamwenzako?
Suala la tamaa yake ya madaraka, wala halihitaji ufafanuzi mkubwa.Kukaa kwake kwenye kiti cha uraisi tangu 88 kunadhihirisha hulka kamaya wanasiasa wa Afrika, kutawala bila kikomo bila kujali ufanisi.
Kuhusu ugonjwa, si vema kuisema afya ya mtu, lakini ugonjwa wa figoni mkubwa na matibabu yake ni makubwa pia, hata taarifa ya Cafinayomsafisha inatambua kuwa amekuwa akihitaji usaidizi wa kitibamara kwa mara.
Kwa Caf kumtetea Rais wao anayewapa ugali si ajabu, ndio hulka yaSoka la kisasa, kuanzia Fifa, kushuka chini ngazi ya kanda hadikwenye vyama vya kitaifa.
Si ajabu kuona Blatter na Fifa anafanya upuuzi wa wazi, Hayatou naCaf wakamuunga mkono, kisha Tenga na TFF nao wakamuunga mkono Hayatou halafu Hayatou akaongezewa ulaji Fifa na Tenga akaongezewa ulaji Caf.
Na Uafrika wangu wa imani, rangi na itikadi, siwezi kushabikia Muafrika wa kwanza kushika nafasi nyeti Fifa, endapo hiyo haimaanishilolote kwa ustawi wa soka la Afrika, kama ambavyo sikushabikia Muafrika alipokuwa Rais wa nchi moja mashenzini, kwa kuwa nilijua haina maana yoyote kwa ustawi wa Afrika!
+255 713 049 852
Makala iliyohaririwa ilichapishwa kwenye Gazeti la Mwananchi la Oktoba 12, 2015