Hayawezi kuwa maandamao ya Amani, kama Polisi hawatotoa Ulinzi

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
12,312
Reaction score
18,194
Maandamano yoyote ambayo polisi hawakutoa Ulinzi hayawi ya amani kwa sababu kuna watu wenye akili tofauti wanaoweza kufanya uhalifu.

Ili hawa watu wahalifu wanaojificha kwenye kivuli cha maandamano wasifanye uhalifu ndio maana sasa POLISI HUTAKIWA KUTOA ULINZI KWA WAANDAMANAJI.

Kusisitiza peke yake kwamba maandamano yawe ya amani kama anavyosema Mange hiyo haitoshi.

Mange hata maandamano ya mwanzo alisisitiza sana yawe ya amani lakini hali ilikuwa kama tunavyoona zilizuka vurugu hata kabla risasi hazijaanza kupigwa.

HuweI kusema maandamano yatakuwa ya Amani alafu hapo hapo unasema hakuna amani bila haki.

Hauwezi kusema maandamano ya amani alafu wakati huo unakubsli kuandamana bila polisi kuwahakikishia ulinzi.

Polisi wakikuhskikishia Ulinzi watakulinda wewe unayrandamana, watalinda maduka ya watu na rasilimali zao na pia watu wataendelea na biashsra zao kama kawaida.

Mchawi mpe mwana alee...
 
Umewaza kupitia akili za mbogamboga hakuna mpya hapa.
Mkusanyiko ukiwa mkubwa kila mtu anakuja kwa malengo yake.

Wewe ambaye unawaza vizuri unadhani nini kilifanya maandamao yale yakaingia vurugu kama sio kukosekana kwa Ulinzi wa Polisi?

Let us be honest na sio kufumbia macho mapungufu yetu
 
Haya sawa baki na imani yako ya hovyo juu ya hao Polisi wa mbogamboga.
 
Nenda kajadili na wanaokataza watu wasiandamane kwa amani.
Waombe wawape ulinzi waandamanaji.
 
Nini kifanyike ikitokea polisi wakagoma kutoa ulinzi/kibali cha kuandamana kwa kusema kuna tishio la usalama ?
 
Maandamano yoyote ambayo polisi hawakutoa Ulinzi hayawi ya amani kwa sababu kuna watu wenye akili tofauti wanaoweza kufanya uhalifu.

Ili hawa watu wahalifu wanaojificha kwenye kivuli cha maandamano wasifanye uhalifu ndio maana sasa POLISI HUTAKIWA KUTOA ULINZI KWA WAANDAMANAJI.

Kusisitiza peke yake kwamba maandamano yawe ya amani kama anavyosema Mange hiyo haitoshi.

Mange hata maandamano ya mwanzo alisisitiza sana yawe ya amani lakini hali ilikuwa kama tunavyoona zilizuka vurugu hata kabla risasi hazijaanza kupigwa.

HuweI kusema maandamano yatakuwa ya Amani alafu hapo hapo unasema hakuna amani bila haki.

Hauwezi kusema maandamano ya amani alafu wakati huo unakubsli kuandamana bila polisi kuwahakikishia ulinzi.

Polisi wakikuhskikishia Ulinzi watakulinda wewe unayrandamana, watalinda maduka ya watu na rasilimali zao na pia watu wataendelea na biashsra zao kama kawaida.

Mchawi mpe mwana alee...
Kosa kubwa ni kuiga mifumo ya Kimagharibi ambayo ni ngumu kuApoly katika mazingira yetu.

Mayahudi wakina Busu la Kenge maandamano Yao dhidi ya vita vya Gaza na kumshinikiza Netanyahu amalize vita yalikuwa karibia kila wiki lakini hakuna kilichovunjwa Wala kuharibiwa wanakusanyika kutembea huku wakipaza sauti destination Yao ni hostage square watu wanapanda stejini kutema nyongo.

Tuje Bongo tokea siku za mwanzoni plan ya maandamano Yao ni kufanya Fujo na kutoa serikali madarakani na ndio kilichotokea Wapuuzi wamevamia mpaka ATM , kuvamia maduka , kuharibu miundombinu nk .

Hitimisho : Sisi hatuwezi kamwe maandamano ya Amani watu wanaplan kukiwasha na fujo
 
Kabisa mkuu, alafu mtu anajua kabisa akili za wabongo wengi walivyo na hapo hapo anasema ataenda kwemye maandamao ya amani wakati huo anajua kabisa polisi hawajatoa uhakika wa kutoa ulinzi.

Muandamanaji huyu hana majibu yoyote endapo ataulizwa anajipambanua vipi asijulikane kama muhalifu wakati kwenye maandamano aliyopo kuna watu wanafanya uhalifu?
 
Nini kifanyike ikitokea polisi wakagoma kutoa ulinzi/kibali cha kuandamana kwa kusema kuna tishio la usalama ?
Simple, watu wasiandamane kwa sababu polisi wana uwezo wa kuzuia wezi, vibaka watakaopitia mgongo wa maandamano.

Kama polisi watakataa maandamano hayo kwa sababu yoyote, basi mtu anayetaka kujitofautisha na vibaka na wahalifu ni vyema wakakaa nyumbani.

Atakayesema anaingia barabarani hivyo hivyo maana yake akubali kwamba ni vigumu kutifautishwa yeye na wahalifu watakaofanya fujo hizo wakati wa maandamano.
 
Nenda kajadili na wanaokataza watu wasiandamane kwa amani.
Waombe wawape ulinzi waandamanaji.
Mfano siku ya uchsguzi askari wengi walikuwa vituoni kusimsmia zoezi la kura,alafu hspo hapo watu wanapanga maandamano makubwa ambayo yatahitaji polsii wengi kuyalinda karibia kila mkoa.

Polisi wanayo haki ya kukataa maandamano hayo kwa sababu kama watayaruhusu watakosa askari wa kuwapeni kuwalinda.

Mtu mwenye kutaka amani angepanga maandamano yake siku nyingine.

Hapa sisemi kama naungs mkono watu waliokufa,hapana, ila pia siungi mkono mitazamo ya waandamanaji kwa sababu sio mitszamo ya amani kama wanavyodai
 
Simple, watu wasiandamane kwa sababu polisi wana uwezo wa kuzuia wezi, vibaka watakaopitia mgongo wa maandamano.

Kama polisi watakataa maandamano hayo kwa sababu yoyote, basi mtu anayetaka kujitofautisha na vibaka na wahalifu ni vyema wakakaa nyumbani.

Atakayesema anaingia barabarani hivyo hivyo maana yake akubali kwamba ni vigumu kutifautishwa yeye na wahalifu watakaofanya fujo hizo wakati wa maandamano.
Kwa hiyo wasidai haki zao ?
 
Amani ipi mnayotaka kuipa maandamano?

Watu wana tekwa, wana teswa, wana potezwa, wana uwawa, halafu mnataka maandamano ya amani?

Lugha pekee watawala dhalimu husikia ni kuua, kuchoma, fujo zote.

Sijawahi kusikia watu wanatembea barabarani halafu mtawala akawasikiliza.

Mtasikilizwa tu mkiongea lugha yao, wakiuwa nanyi uweni, wakiteka nanyi tekeni, wakipoteza nanyi potezeni.

Msipoongea lugha yao hawasikii na hawaelewi.

Tunatembea kwa mguu kila siku, hayo na maandamano ya amani, yajayo siyo ya amani acheni ujinga.
 
Kwa hiyo wasidai haki zao ?
Kwani ukidai haki ni lazima uchome biashara za watu miundo mbinu na vituo vya mafuta na vituo vya Polisi halafu unategemea uachwe au upongezwe?Ukileta anarchy lazima udhibitiwe kwa nguvu za kutosha.
 
Kuna sehemu nimesema ni lazima kufanya hivyo ?
 
An polisi yule yule alie ua 29 ndo unataka kuamin atakulinda trh 9
Acha kufikria kwa kutumiaa makalio
Once killer always a killer
 
Back
Top Bottom