Mkusanyiko ukiwa mkubwa kila mtu anakuja kwa malengo yake.Umewaza kupitia akili za mbogamboga hakuna mpya hapa.
Haya sawa baki na imani yako ya hovyo juu ya hao Polisi wa mbogamboga.Mkusanyiko ukiwa mkubwa kila mtu anakuja kwa malengo yake.
Wewe ambaye unawaza vizuri unadhani nini kilifanya maandamao yale yakaingia vurugu kama sio kukosekana kwa Ulinzi wa Polisi?
Let us be honest na sio kufumbia macho mapungufu yetu
Kawambie hao mbogamboga kama wamekutuma sihitaji usumbufu na 9D lazima nitoke kwa barabara.Nitajie maandamano gani ambayo polisi walitoa ulinzi alafu yakawa na Fujo..?
Sawa ngoja waje kwa upande wangu sina muda wa kuongelea vioja.Mimi nimekuja kujadili hoja mkuu, sikuja kujadili msimamo
Kosa kubwa ni kuiga mifumo ya Kimagharibi ambayo ni ngumu kuApoly katika mazingira yetu.Maandamano yoyote ambayo polisi hawakutoa Ulinzi hayawi ya amani kwa sababu kuna watu wenye akili tofauti wanaoweza kufanya uhalifu.
Ili hawa watu wahalifu wanaojificha kwenye kivuli cha maandamano wasifanye uhalifu ndio maana sasa POLISI HUTAKIWA KUTOA ULINZI KWA WAANDAMANAJI.
Kusisitiza peke yake kwamba maandamano yawe ya amani kama anavyosema Mange hiyo haitoshi.
Mange hata maandamano ya mwanzo alisisitiza sana yawe ya amani lakini hali ilikuwa kama tunavyoona zilizuka vurugu hata kabla risasi hazijaanza kupigwa.
HuweI kusema maandamano yatakuwa ya Amani alafu hapo hapo unasema hakuna amani bila haki.
Hauwezi kusema maandamano ya amani alafu wakati huo unakubsli kuandamana bila polisi kuwahakikishia ulinzi.
Polisi wakikuhskikishia Ulinzi watakulinda wewe unayrandamana, watalinda maduka ya watu na rasilimali zao na pia watu wataendelea na biashsra zao kama kawaida.
Mchawi mpe mwana alee...
Kabisa mkuu, alafu mtu anajua kabisa akili za wabongo wengi walivyo na hapo hapo anasema ataenda kwemye maandamao ya amani wakati huo anajua kabisa polisi hawajatoa uhakika wa kutoa ulinzi.Kosa kubwa ni kuiga mifumo ya Kimagharibi ambayo ni ngumu kuApoly katika mazingira yetu.
Mayahudi wakina Busu la Kenge maandamano Yao dhidi ya vita vya Gaza na kumshinikiza Netanyahu amalize vita yalikuwa karibia kila wiki lakini hakuna kilichovunjwa Wala kuharibiwa wanakusanyika kutembea huku wakipaza sauti destination Yao ni hostage square watu wanapanda stejini kutema nyongo.
Tuje Bongo tokea siku za mwanzoni plan ya maandamano Yao ni kufanya Fujo na kutoa serikali madarakani na ndio kilichotokea Wapuuzi wamevamia mpaka ATM , kuvamia maduka , kuharibu miundombinu nk .
Hitimisho : Sisi hatuwezi kamwe maandamano ya Amani watu wanaplan kukiwasha na fujo
Simple, watu wasiandamane kwa sababu polisi wana uwezo wa kuzuia wezi, vibaka watakaopitia mgongo wa maandamano.Nini kifanyike ikitokea polisi wakagoma kutoa ulinzi/kibali cha kuandamana kwa kusema kuna tishio la usalama ?
Mfano siku ya uchsguzi askari wengi walikuwa vituoni kusimsmia zoezi la kura,alafu hspo hapo watu wanapanga maandamano makubwa ambayo yatahitaji polsii wengi kuyalinda karibia kila mkoa.Nenda kajadili na wanaokataza watu wasiandamane kwa amani.
Waombe wawape ulinzi waandamanaji.
Kwa hiyo wasidai haki zao ?Simple, watu wasiandamane kwa sababu polisi wana uwezo wa kuzuia wezi, vibaka watakaopitia mgongo wa maandamano.
Kama polisi watakataa maandamano hayo kwa sababu yoyote, basi mtu anayetaka kujitofautisha na vibaka na wahalifu ni vyema wakakaa nyumbani.
Atakayesema anaingia barabarani hivyo hivyo maana yake akubali kwamba ni vigumu kutifautishwa yeye na wahalifu watakaofanya fujo hizo wakati wa maandamano.
Kwani ukidai haki ni lazima uchome biashara za watu miundo mbinu na vituo vya mafuta na vituo vya Polisi halafu unategemea uachwe au upongezwe?Ukileta anarchy lazima udhibitiwe kwa nguvu za kutosha.Kwa hiyo wasidai haki zao ?
Kuna sehemu nimesema ni lazima kufanya hivyo ?Kwani ukidai haki ni lazima uchome biashara za watu miundo mbinu na vituo vya mafuta na vituo vya Polisi halafu unategemea uachwe au upongezwe?Ukileta anarchy lazima udhibitiwe kwa nguvu za kutosha.
Umedai indirect kwamba kwa hiyo wasidai haki yao?Ukiwa na maana kwamba kwa walichokifanya walikuwa wanadai haki zao!Kuandamana kwa vurugu ndio kudai haki?Kuna sehemu nimesema ni lazima kufanya hivyo ?