Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
na kwa nini polisi hawakuwepo, watawala hawataki maandamano, why? jibuMkusanyiko ukiwa mkubwa kila mtu anakuja kwa malengo yake.
Wewe ambaye unawaza vizuri unadhani nini kilifanya maandamao yale yakaingia vurugu kama sio kukosekana kwa Ulinzi wa Polisi?
Let us be honest na sio kufumbia macho mapungufu yetu
Sababu yoyote itakayokuwa ya kuwafanya polisi wasiwepo yaani wasilete ulinzi kwa maana hawakuyakubsli basi hskikisha HAUSHIRIKI Maandamano hayo kwa sababu kibongobongo lazima tuuuu mikusanyiko hiyo italeta uhalifu..na kwa nini polisi hawakuwepo,
Lissu na mbowe mwaka jana walifanya maandamano ya amani walilindwa na polisi na sote tuliona hakukuwa na fujo.An polisi yule yule alie ua 29 ndo unataka kuamin atakulinda trh 9
Hiyo "indirect" umesema wewe kutokana na assumption uliyojiwekea. Ninachouliza ni kama kuna kundi linalosema linaonewa na wanaowaonea ndio hao wanaotoa kibali cha wao kuandamana kufikisha ujumbe kuwa wanaonewa, kama watoa kibali wanaoshutumiwa kuwa ndio waonevu wakikataa kutoa kibali inamaanisha hilo kundi lisiendelee kudai haki yao ? Rejea maandamano ya TLS yaliyoyeyuka, wamewahi kusikilizwa tena ? Au wakubali kutotoa sauti yao ?Umedai indirect kwamba kwa hiyo wasidai haki yao?Ukiwa na maana kwamba kwa walichokifanya walikuwa wanadai haki zao!Kuandamana kwa vurugu ndio kudai haki?
Walindeni siku ya 9/12 watu watakuwa mapumzikoni, hakuna sherehe za Uhuru.Mfano siku ya uchsguzi askari wengi walikuwa vituoni kusimsmia zoezi la kura,alafu hspo hapo watu wanapanga maandamano makubwa ambayo yatahitaji polsii wengi kuyalinda karibia kila mkoa.
Polisi wanayo haki ya kukataa maandamano hayo kwa sababu kama watayaruhusu watakosa askari wa kuwapeni kuwalinda.
Mtu mwenye kutaka amani angepanga maandamano yake siku nyingine.
Hapa sisemi kama naungs mkono watu waliokufa,hapana, ila pia siungi mkono mitazamo ya waandamanaji kwa sababu sio mitszamo ya amani kama wanavyodai
Kuandamana ni moja ya njia za kudai haki na wala sio njia pekee ya kudai haki.hilo kundi lisiendelee kudai haki yao ?
Polisi wameruhusiwa na wamepew NGUVU NA SHERIA kukataa msandamano psle ambapo watahisi kuna viashiria vya uvunjifu wa amani, vurugu n. KWalindeni siku ya 9/12 watu watakuwa mapumzikoni, hakuna sherehe za Uhuru.
No excuses mlikuwa kwenye sherehe za Uhuru.