Hayawi hayawi huwa, mashehena ya maparachichi yaanza safari kuelekea Uchina

Hayawi hayawi huwa, mashehena ya maparachichi yaanza safari kuelekea Uchina

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wale ni watu zaidi ya bilioni, yaani tushindwe wenyewe tu, n mwendo wa kuzalisha haya matunda hadi basi. Shukrani sana rais Uhuru kwa hili soko, Wakenya sisi watu wa kujituma, ukifungua mlango wa soko tuachie mengine, hapa patachimbika yaani

EDtaXj2X4AYVWbO

Ninafanya Huu mradi mwaka wa pili sasa, Miaka miwili ijayo nitakuwa natengeneza Dolari za Kutosha, Huwa najiona ni fala kwani nilichelewa kuanza.
 
Wanachukua kwa bei gani kwa kg ?
na mkulima inabidi auze kiasi gani ili kubreak even ?
Haya mambo ni vema kuyajua before kujikita kwenye hizi issues.., bila kusahau watu wote wasiache kulima staple food kwa kufukuzia hii habari.., as well as tatizo la monoculture kubwa at the end of the day magonjwa, madawa kuhitajika kutumika zaidi... (naongea kama mdau wa permaculture na sustainability)
 
Na akili kubwa wataimport korosho from tz and export them to China. Watch...
usijipe kichwa kijinga bana sisi ndio wenye mbwa.

tukiamua tupeleke china moja kwa moja utalalamika ni roho mbaya tunafanya, hutasifu kwamba tumejanjaruka.
 
Starehe ya parachichi ukate na umenye mwenyewe. Hilo la kumenyewa na kuwa frozen, dah litaishia kwenye juisi tu mkuu.

Back
Top Bottom