Hayawi hayawi huwa, safari ya kuuza mafuta inaanza leo Kenya

South Sudan is part of EAC, hivyo Kenya sio ya kwanza
 
mitanzania yamemwaga povu sana aisee😀😀😀...jirani akifanikiwa mpe hongera zake tu...does it hurt?
 
Eti Tanzania iko karibu na Lithuania na Israel. Mwenye kuchapisha hiyo list alikuwa analala na nguruwe iliyojaa mapepo.
It's a list based on national poverty line. It's from unctad in their web site that which has both national poverty line and the international standard. Well if TZ feels that living above a dollar means you are not poor then the country has some fundamental issues.
 
Sasa buku nne mbona ni hela mingi sana bongo, per day.
 
Uko Mtwara watu wameuliwa wengi sana lakini mpaka sasa hakuna gesi wala mafuta yalionufaisha taifa.
 
Sio buku nne most watanzania wanaishi chini ya ksh 50 per day
 
Your grammar is worse than Cancer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…