Hayawi Hayawi Sasa Yamekuwa. Huko Aliko Mwamba Mbowe Anachekaaaa Sanaaa na kufyonya

TAKATAKA
MALAYA WA KISIASA KAZINI
ELIMU NDOGO


CJHADEMA UCHAGUZI HATUSHIRIKI LAKINI TUNA KINUKISHA HASWA SIKU YA UCHAGUZI SUBIRINI MUONE .
Wew inaonekana ni mtoto mdogo bado unayesomea pspa. Uanaharakati umeshawashinda wanaoonekana ni wanaume, leo midomo wameifumbuwa, wanabweka kama kundi la mbwa, kila mmoja anasema lake, huisikii tena ile nrnr, mumebakia kutukana tu na kujiliwaza.

Kuna mambo ya kufanyia masihara lakini sio kuchaguwa kiongozi kwa sababu ya ukali wa maneno yake. Kama hamutozinduka, mtaendelea kusubiri sana.
 
Watajutia sana ujinga wao wa kuchagua kiongozi kwa Mihemuko na ukurupukaji.
 
Yaani yule jamaa hafai kabisa kuongoza hata familia. Si unaona hata Familia yake haieleweki inaishi vipi huko nje.
Unazidi kujitambulisha ulivyo mshamba! Aliye soma anaelewa ili maisha nje ta TZ yakoje na mwenye experience na ulimwengu huu anaelewa maisha yakoje, wewe huko Mpinjimbi kwako maisha ni ccm na ccm ni wewe!
 
Unazidi kujitambulisha ulivyo mshamba! Aliye soma anaelewa ili maisha nje ta TZ yakoje na mwenye experience na ulimwengu huu anaelewa maisha yakoje, wewe huko Mpinjimbi kwako maisha ni ccm na ccm ni wewe!
Kwani na wewe umetelekeza familia yako?
 
Uzi mreeefu👿 aliyeelewa msaada tafadhari!!
 
MBOWE alikuwa ni gugumaji ndani ya CHADEMA. Gugumaji ziwani huonekana kama mmea mzuri sana wenye kuvutia kwa majani na maua yake, lakini ni hatari kwa SAMAKI na viumbe hai wengine wa majini.

MBOWE alikuwa ni pandikizi la CCM. Tunataka kiongozi shupavu kama Tundu Lissu na john Heche ili tuweze kuiadabisha serikali dhalimu ya CCM inayoongizwa na Mzanzibari MamaSamia2025, ambaye ametoka huko kwao na kuja kuwatimua Wamasai kwenye ardhi yao ya Asili na kuwapa Waarabu.
 
Lissu hawezi hata kujiongoza yeye mwenyewe
 
Anaweza kukuingizia taifa letu kwenda kwenye nchi ya ahadi. Nchi yenye utii wa Sheria. Nchi ambayo rais ataheshimu katiba na kulinda, sio huyu ajuza anayesema katiba ni makaratasi tu
Huna adabu mjinga wewe
 
CCM mnamisi sana rafiki yenu mbowe. Mngekuwa mmeshampa hela na angekaa na kugawia mrema na wengine. Swali- Je mwaka 2020 na 2024 walipata nini? Ni sawa tu na kutoshiriki uchaguzi. Ni upuuzi kushiriki uchaguzi. Ni vyem kuendelea na mikutano yao ya mabadiriko
 
HIKO CHAMA nacho nimatopolo Huu sio muda wakujifanya unamlalamikia Lissu kwanza LISSU anaakili nyingi kuliko huyo Muhuni sio umbo tuuu Hata ubongo mkubwa kuliko wake..
 
⁷
Unaandika Haya maneno dhahiri naona maisha yako ni ya Hali ya chini au wastani wakaida kazi iendele we unafanya kazi gani na mnyonge gan mnaongelea aliemgusa au sauti iliosikika....SWALI NANI ALIMPIGA LISSU RISASI ZOTE...NANI ANATEKA NA KUWAUA RAIA WA TZ... HUJUI wala hutakaa ujue maana mshahara wako haukuruhusu kujua...kama hujafahamu maisha yako hayawez badilika mpaka unakufa na kwa mtot wako pia na kwa wajukuu wewe ni mtumwa unaependa ela unauza hata roho yako naaminigi chawa wa ccm waeza kuuza vingi mwilini mwao..sishangai ukiona upo Sawa fikra yako inaendana na Elimu yako Na Inanielezea Hadi Uwezo wako wa maisha
 
wenzetu wenye Ela Americans,British Hawajuagi nani Raisi mpaka Dakika ya mwisho ya kuhesabiwa Kura..huoni Wanapata Furaha kuwa nà Haki kwenye jambo kama hilo Ila NAEKA NYUMBA YANGU REHANI ASIPOPITA TUNAE MFAHAMU YA KWAMBA LAZIMA APITE KURA BILA KURA ATAPITA TUU.. HIO NI DICTATORSHIP KAMA HUJAELEWA KIFUPI NI HIVI WEWE NA KAZI YAKO UTAENDELEA KUISHI HAYO MAISHA YA CHINI AU YA WASTANI ULIONAO WEWE NA HIZO FIKRA.....
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…