Hayawi Hayawi Sasa Yamekuwa. Huko Aliko Mwamba Mbowe Anachekaaaa Sanaaa na kufyonya

Nikionaga post yako huwa sisomi nabaki kucheka tu. Sema nini unaweza kuta kuna mtu anakuita baba.
 
Mabwana zako unaowaandikia magazeti ya kuwapamba watapita bila kupingwa kwenye uchaguzi, sindio furaha yako unataka kipi tena kwa CHADEMA?!.
Nataka CHADEMA ifutiwe kabisa usajili kwa sababu imevunja sheria ,kanuni na miongozo ya kusajiliwa kwake.
 
Lucas mwashambwa wewe ni kijana mjinga, mpumbavu na hujielewi ,
kama taifa tuna hasara kubwa sana ya kuwa na vijana wa aina yako
Brattyful
 
Na wewe ni Mwanaume? Mimi naona wewe ni msichana
😁😁😁😁😁😁 ubongo wako haufanyi kazi kwa kushirikiana.
Ndio maana umekuwa linyiha jinga na chawi kupata kutokea hapa Tanzania , pia kwasababu ulizaliwa kwa bahati mbaya kwa maana wazazi wako walikuwaga kwenye starehe😁😁😁😁
 
Ndio maana nimesema wewe ni msichana Uliyekosa kabisa adabu na malezi ya wazazi wako
 
Bro inawezekana unataka kutupa kitu KIMOJA cha maana sanaπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Tatizo umechanganya madesa hadi sijaelewa nini umekusudia mkuu.

Hebu andika paragraph moja na kile cha MSINGI unachotaka kusema πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…