Hayawi hayawi sasa yamekuwa mwana JF ndani ya shela

Hongera sana maharusi na wanandoa watarajiwa

Kila la kheri YNNAH na mwenzi wako
 
Last edited by a moderator:
Hongera YNNAH kwa hatua nyingine ya maisha utakayoanza, Mungu awatangulie.
 
Last edited by a moderator:
Labda mimi sijaelewa hebu nieleweshe ulivyoelewa wewe!

pj ni chairman wa ar wing mwanyasi kamuambia amtunze mwali kama mwenyekiti alivyokuwa anatunzwa na ta wing.. Ila pj si muhusika mi elewa hivyo kama nimekosea mnitoe tongotongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…