Hayawi hayawi sasa yamekuwa mwana JF ndani ya shela

YNNAH nashukuru kwa kwa taarifa hizi njema nakuombea baraka katika ndoa yako na Mungu ataifanikisha bila shida!
Tuko pamojaaaaa na karibu sana Arusha kwetu
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana ndugu yangu YNNAH.

Dada yetu ndo waolewa teena watuacha na Arabela wangu jamani.

Nitakumiss sana sana sana best.....but hili ni jambo jema iwayo vyote ni lazima ukaanzishe familia yako, ukawe mama na mke pia.

Nakuombea kila lililo jema YNNAH, ukawe mke mwema na mama bora, ukimtanguliza ALLAH kwa kila jambo.

Wana ARACHUGA ndugu yetu huyo....cheupeeee....tunaanimi anakuja kwenye mikono salama, kama tuwajuavyo kwa upendo na ukarimu mliokirimiwa na mwenyezi MUNGU. Mtampenda, mtamtunza na kuwa naye katika yote.

Ajaliapo mola tutakutana harusini na pengine kwenye gathering hiyo twaweza ondoka na mmoja wenu.

MAPENDO DAIMA
 
Haswaa kuondoka na mmoja ndio pointi ya msingi,
hata Mwenyekiti Dark City ameafikiana na hili
 
Last edited by a moderator:
Millions of Congratulations.... Maisha ya kusikilzana na muruwa.! Mujaaliwe familia nzuri.
 
Last edited by a moderator:
Mwenzangu YNNAH hongera sana kwa kufanya maamuzi hayo ya ki utu uzima!
Muda si mrefu na mimi nitaleta news kama hizi hapa jukwaani!
Halafu Mwanyasi ametangaza yako, yake lini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom