Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana ndugu yangu YNNAH.
Dada yetu ndo waolewa teena watuacha na Arabela wangu jamani.
Nitakumiss sana sana sana best.....but hili ni jambo jema iwayo vyote ni lazima ukaanzishe familia yako, ukawe mama na mke pia.
Nakuombea kila lililo jema YNNAH, ukawe mke mwema na mama bora, ukimtanguliza ALLAH kwa kila jambo.
Wana ARACHUGA ndugu yetu huyo....cheupeeee....tunaanimi anakuja kwenye mikono salama, kama tuwajuavyo kwa upendo na ukarimu mliokirimiwa na mwenyezi MUNGU. Mtampenda, mtamtunza na kuwa naye katika yote.
Ajaliapo mola tutakutana harusini na pengine kwenye gathering hiyo twaweza ondoka na mmoja wenu.
MAPENDO DAIMA
kwenye red ndio jambo la msingi alilotuachia Munguhongera kubwa niwatakie maisha mema yenye raha tele , shida kusikia kwa jirani tu
Millions of Congratulations.... Maisha ya kusikilzana na muruwa.! Mujaaliwe familia nzuri.
kwa jinsi dunia ya mapenzi ilivyo bora kukumbushanahii tamu sana
Nafahamu wewe ni kamanda!
Lazima uwe bize mkuu, Tanga kwema karibu sana mkuu!
Ni wewe utahamia huku, maana tunahitaji memba toka chuga
Nafahamu wewe ni kamanda!
Lazima uwe bize mkuu, Tanga kwema karibu sana mkuu!
Ni wewe utahamia huku, maana tunahitaji memba toka chuga