Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Hii ni habari njema sn kwa WanaJf kwa Ujumla, lakini pia kwa A-Wing, maana tutaongezeka idadi.
Na sisi huku itatupasa kukaa kama kamati ya matumizi tuangalie mustakabali wa jambo hili.
Nichukue nafasi hii kumpongeza sana YNNAH kwa hatua njema sana ya kupata mwenza wa maisha.
Pia nitoe pole zangu za dhati kwa Tanga -Wing kwa kupoteza mwanawing wenu ambaye ni active sana.
Msisome hapa chini:
Kumbe ndiyo maana Ynnah amekuja Arusha mara 5 ndani ya October!
Pole ya nini mkuu??
Umesahau ule msemo wa mshua??
Kula ili na wewe u.....
Jiandaeni kuyapokea mashambulizi....
Babu DC!!