Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi na wewe UPOGO?
Nilikuwa nimeanzisha msako maalum nikijua umeenda kwa Mwanyasi Tanga Wing, maana kuna kipindi nilimwona Dark City Arachuga akiwa na wewe, na majirani zako wakaniambia ni mshenga wako kwa Mwanyasi.
Kwakweli niliamini, maana DC akija chuga lazima atoe taarifa, lakini this time alipokuja alizima Simu kabisa.
Hii ni habari njema sn kwa WanaJf kwa Ujumla, lakini pia kwa A-Wing, maana tutaongezeka idadi.
Na sisi huku itatupasa kukaa kama kamati ya matumizi tuangalie mustakabali wa jambo hili.
Nichukue nafasi hii kumpongeza sana YNNAH kwa hatua njema sana ya kupata mwenza wa maisha.
Pia nitoe pole zangu za dhati kwa Tanga -Wing kwa kupoteza mwanawing wenu ambaye ni active sana.
Msisome hapa chini:
Kumbe ndiyo maana Ynnah amekuja Arusha mara 5 ndani ya October!
Kwakweli tumtakie maisha mema, halafu umepotea wewe!Ni jambo la kheri sana hilo. Nakutakia kila la kheri mdada.
Naupendaga sana huu mwimbo! bahati mbaya sijashika misitari yake!Dada huyoo!! Anaolewaa! Maharii! Keshatolewa!! Haya wape hongera zao bibi na bwana harusi mtarajiwa!!
Hivi na wewe UPOGO?
Nilikuwa nimeanzisha msako maalum nikijua umeenda kwa Mwanyasi Tanga Wing, maana kuna kipindi nilimwona Dark City Arachuga akiwa na wewe, na majirani zako wakaniambia ni mshenga wako kwa Mwanyasi.
Kwakweli niliamini, maana DC akija chuga lazima atoe taarifa, lakini this time alipokuja alizima Simu kabisa.
Mi nipo sana tu mkuu Mwanyasi. Majukumu ya kimaisha ndo yamenityt tu. Tanga kwema huko?Kwakweli tumtakie maisha mema, halafu umepotea wewe!
!
Mi nipo sana tu mkuu Mwanyasi. Majukumu ya kimaisha ndo yamenityt tu. Tanga kwema huko?Kwakweli tumtakie maisha mema, halafu umepotea wewe!
!