Hayawi hayawi sasa yamekuwa mwana JF ndani ya shela

Hayawi hayawi sasa yamekuwa mwana JF ndani ya shela

Wambie wakafute hiyo kitu...

Mie nimeondoa kabisa...hatutaki fujo wala kuchokonoana kwenye hii thread...lol!!

Babu DC!!
mtu mzima mwenzangu, mimi naona anza kumwambia mleta uzi a-edit kama lengo ilikuwa ni kuweka viulizo....
kaiweka wazi sana.... yaani kabla ya kumsoma The Boss, mimi mwenyewe ndo nilielewa hivyo
 
mtu mzima mwenzangu, mimi naona anza kumwambia mleta uzi a-edit kama lengo ilikuwa ni kuweka viulizo....
kaiweka wazi sana.... yaani kabla ya kumsoma The Boss, mimi mwenyewe ndo nilielewa hivyo

Sasa wewe badala ya kukimbizana na mipango ya kumgawia binti yetu ma ujuzi unaanza haya maswali....

Mbona unataka kunikatisha tamaa mkubwa mwenzangu ...??

Babu DC!!
 
Hii ni habari njema sn kwa WanaJf kwa Ujumla, lakini pia kwa A-Wing, maana tutaongezeka idadi.

Na sisi huku itatupasa kukaa kama kamati ya matumizi tuangalie mustakabali wa jambo hili.

Nichukue nafasi hii kumpongeza sana YNNAH kwa hatua njema sana ya kupata mwenza wa maisha.

Pia nitoe pole zangu za dhati kwa Tanga -Wing kwa kupoteza mwanawing wenu ambaye ni active sana.

Msisome hapa chini:
Kumbe ndiyo maana Ynnah amekuja Arusha mara 5 ndani ya October!
 
Last edited by a moderator:
The Boss kwa uchokozi...... Hongera@YANNAH, Mungu akutangulie ktk maandalizi ya kuingia ktk hatua nyingine ya maisha, pole tanga wing kwa kupoteza member na hongera arusha wing kwa kumpata member mpya

Tumepoteza memba bana, njoo basi wewe!
 
Back
Top Bottom