Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Inawezekana Gara B alikuwa booked tayari...

Walitaka kubadili ladha. Gara b wamemkodi kwenye engagement ya nandy. Pia wamemkodi kwenye send of ya nandy. Harusi wakaona wabadili ladha. Sie mtu mmoja afanye kila kitu.

Harusi ya Billnass ni corporate wedding. Ni sponsors wametoa mamilion ya pesa. Haina ubahili ile hata kidogo Gara B angetakiwa hata kama angekuwa na oda ingone angerudisha pesa kwingine na kuzuga kwa sababu yoyote mradi awepo kwa nandy maana kuna mpunga wa maana.

Ukumbi tu mliman city umelipiwa milioni 10.
 
Mwandishi alikuwaga jay Melody nasikia waligombana ndio ulikuwa mwanzo wa Nandy kutoa nyimbo za ajabu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa kile kinguo cha Nandy jana...nadhani Body Language ilikuwa inafanya kazi sana Unyakini[emoji28]

Zile za kufinyana, mara umesukumizwa na kibega... Hasa Mama zetu jamani[emoji119]
Teh usinikumbushe wifi angu mchaga. Mjini alikuwa anapeta tu na wakwe zake, hawana nongwa. Siku aliyokwenda Tukuyu; na venye hajazoea kupiga magoti. Hana hamu kilichomkuta
 
Mbona nasikia mara nyingi Zuchu akisifiwa kuwa ni mwandishi mzuri sana; hata Salama juzi kati ametoka kusema like hajaona msanii anayeandika kama Zuchu
 
Kwa nini aliamua kuvaa ile nguo ukumbini? Au alitaka kutuonesha Junior alivyokua.
 
Mwandishi alikuwaga jay Melody nasikia waligombana ndio ulikuwa mwanzo wa Nandy kutoa nyimbo za ajabu

Jay melody alikuwa anaandika wakati nandy yupo na ruge na anatumia studio ya THT baada ya kuachana na billnass maana ni ya bwana wake ruge na jay melody yupo chini ya ruge. Baada ya ruge kufariki tu nandy karudi kwa billnass na akaachana na studio ya THT kabisa kaenda kwa kimambo kabisa
Mbona nasikia mara nyingi Zuchiu akisifiwa kuwa ni mwandishi mzuri sana; hata Salama juzi kati ametoka kusema like hajaona msanii anayeandika kama Zuchu

Siri za industry wanaozijua wanaofanya nao kazi.

Zuchu akiondoka WCB hata Ruby ana afadhali.

Wasanii wengi wa kike hawasemi ukweli
 
Teh usinikumbushe wifi angu mchaga. Mjini alikuwa anapeta tu na wakwe zake, hawana nongwa. Siku aliyokwenda Tukuyu; na venye hajazoea kupiga magoti. Hana hamu kilichomkuta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Binafsi hata mimi suala la goti ni kipengele HS...

Nimekaa Usukumani huko wale wanapiga goti hadi umalize kunywa maji... kama ni salamu hadi umalize kusalimia....

Mimi vilinishinda Asubuhi sana[emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nimeshazoea aisee, hadi wengine wananishangaaga. Ila kwa wasukuma nimenyanyua mikono juu. Tumewahi ishi kule, kuna siku tukaenda kumsalimia mama wa jirani yetu; niliyeenda naye msukuma, naona dakika zinakata tu mwenzangu bado ana goti lake; nikanyanyuka tu kwa kweli
 
Mbona nasikia mara nyingi Zuchiu akisifiwa kuwa ni mwandishi mzuri sana; hata Salama juzi kati ametoka kusema like hajaona msanii anayeandika kama Zuchu
Hata Goodluck Gozbert ni Mwandishi mzuri pia...

Aliwahi kuhojiwa na Salama NA... wakati kipindi kipo EATV.... Salama akamwambia anajua kuwa anawaandikia watu nyimbo za kidini na za kidunia... Anaweza kuwataja watu watatu tu... Goodluck akakataa... Salama si unamjua tena[emoji1787]akamwambia anawajua vyema hata asipowataja[emoji3]
 
Nawaza Ruby angekuwa Wcb sijui angekuwa wapi sasa hivi.

Jay Melody anaandika
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wasukuma kiboko aisee... hadi vitoto vidogo hivyo hivyo..
 
Yeah Goodluck ni mwandishi mzuri sana. Nakumbuka Ile moyo mashine ya Ben pol alimuandikia yeye na hata Ile "Basi nenda" ya mo music. Alikuwa anajiita producer Lollipop
 
Sijatembea kwingi lakini kwa kule iringa njombe natumaini wao ndio wanaongoza kwa kupiga goti.
Siku nilisalimiwa kwa goti na mama mtu mzima wa umri wa bibi yangu kabisa, nilijua ni yeye tu lakini kumbe ndio ulikua utaratibu wao, mtu yoyote akiisha kuwa mwanaume wa rika fulani salamu yake ataipata na kuitikwa kwa goti kwa mwanamke yoyote.
 
Kwa kweli sikumuelewa; na hata yeye ni kama hakuwa comfortable haswa na mpasuo wake, kila saa anajifunika
Hilo ndio huwa linanishangaza sana wadada/wanawake, mtu anavaa nguo fupi akikaa inarudi nyuma mapaja yanakuwa wazi anaanza kuhangaika kufunika tena, utakuta hana hata nguo(mf kanga) halafu ana kakimkoba akikaweka miguu hakifuniki chochote.

Vazi umevaa kwa utashi wako bila kushurutishwa halafu baadae likuhangaishe.

Enewei, sisi tutaendelea kuwakodolea macho maana mnayataka wenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…