Inawezekana Gara B alikuwa booked tayari...
Walitaka kubadili ladha. Gara b wamemkodi kwenye engagement ya nandy. Pia wamemkodi kwenye send of ya nandy. Harusi wakaona wabadili ladha. Sie mtu mmoja afanye kila kitu.
Harusi ya Billnass ni corporate wedding. Ni sponsors wametoa mamilion ya pesa. Haina ubahili ile hata kidogo Gara B angetakiwa hata kama angekuwa na oda ingone angerudisha pesa kwingine na kuzuga kwa sababu yoyote mradi awepo kwa nandy maana kuna mpunga wa maana.
Ukumbi tu mliman city umelipiwa milioni 10.