Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Ungejua billnass ndie muandishi wa nyimbo za nandy.

Toka ruge amefariki Nandy amepanda juu kimziki kwa kasi sana maana billnass alirudi kuanza kumuandikia tena.

Watu wa rap wanajua sana kuandika nyimbo za kuimba. Nandy anajua msaada wa billnass kwake na bila yeye atapotea kama ruby sokoni. Maana ruby hana wa kumuandikia nyimbo nzuri.

Diamond anatawala sana mziki sababu alianza kwenye kurap. Aliamia kwenye kuimba sababu ndipo kuna hela na wateja wengi wa biashara ya mziki.

Sawa na Ray vanny alianza kwenye kurap na anajua sana kurap. Kuandika nyimbo za kuimba ni rahisi sana

Zuchu anaandikiwa nyimbo ndio maana anatoa nyimbo nzuri daily.
Zuchu nyimbo anaandikiwa na mama ake? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwa taarabu anazotoa khaaah, wee lol
 
Ila wabongo wakikutosa wamekutosa mazima. Maskini Lulu tangu amzamishe kanumba kila anachokifanya wabongo wanakipotezea,alianza ndoa wabongo wakaita kipaimara wakauchuna,kajifungua watu hawana mhaho wa kumuona mwanae,kafungua biashara kwa mbwembwe wabongo kimya, birthday ya mwanae kajitahidi kuibust wabongo waleee kwa bill na nandy.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niaje wadau wa burudani!!!!

Kiukweli waliofatilia jana tukio la mlimani city kwenye sherehe ya nandy bila kupapasa macho SHANGAZI aliuwa sana kwa licha ya kusema ametoa pesa kiasi gani ila adi MC alikubali baada ya kuona mzigo SHANGAZI ALIOTOA kwa nandy & Nenga pamoja na familia ya nandy na Nenga pamoja na Mc bila kusahau Musa(mtangazaji wa clouds fm)
Hakika kwa tukio la jana alitakiwa kuwekwa kwenye front page za magazeti


Vipi kwa mtazamo wako mdau
Rich Auntie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Teh usinikumbushe wifi angu mchaga. Mjini alikuwa anapeta tu na wakwe zake, hawana nongwa. Siku aliyokwenda Tukuyu; na venye hajazoea kupiga magoti. Hana hamu kilichomkuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninavyowajua wanyaki, na gubu letu; Ile second dress ya Nandy, watakuwa wameongea jamani. Kama nawaona vile "aseeeeeeeeeeeee".

Ila Nandy na Nenga wanapendana jamani; Mungu akawatetee kwenye ndoa yao, wakawe na ndoa ya mfano kwa wasanii na hata wengine
Those guys are soulmates, sio rahisi kuachana sababu wana urafiki mkubwa. Kila mmoja ni company kwa mwenzie😂
 
Watumishi wa Mungu zama hizi wana kazi sana. Ndoa inafungwa mimba kubwaaa inabidi tu wafumbe macho hivyo hivyo vinginevyo wakijifanya kuwa wakali watakosa waumini
Kiasi fulani inachefua na kuwaweka watumishi majaribuni. Wangeweka tu utaratibu, Kama tayari mwanamke ana ujauzito, asubiri tu, ajifungue, Kisha waje kuhalalisha ndoa yao kanisani.
 
Nilipewa mkeka m1 huo. Duh had mke wa mmakonde yumo ndani.. sepenga. Ndani. Jide ndan. Gadna ndani.. prof jize ndan. Aisee ni balaa.. naomba niishie hapa.. grid ya ukweli. Zama yumo.. mke wa romy jons ndani. Romi jons ndani.. hatar
Hizo "ndani" za msisitizo Kama Gardner vile.
 
Back
Top Bottom