Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Nimepentaa
Mungu awatangulie katika maisha yao ya ndoa.😊
 
Harusi ilifana sanaa ila lile gauni la Nandela la tumbo nje aliharibu kila kitu
 
Harusi ilifana sanaa ila lile gauni la Nandela la tumbo nje aliharibu kila kitu.
 
Huyo jamaa nasikia ratiba yake hua finyu Sana anapiga hela mbaya yaani mwezi mzima bize tu.
Yeah ile siku alikuwa na shughuli nyingine,ndio maana ukumbini aliingia saa 6,
 
Huwa siamini ndoa za watu maarufu wanapooana. Kila mtu ana umaarufu wake ambao anadhani hatakiwi kuupoteza.


Kila la heri
Beyonce na Jay Z wana miaka mingapi kwenye ndoa

Mauki na mkewe, je
Swiss Beat na Mkewe?
David Beckham na mkewe ?

Hao wote mastaa ndoa zao zinasonga mbele kama Injili.
 
Siku hizi nafurahia sana nikiona watu wanaingia ndoani kwa heshima namna hii,, story yao ni ndefu ikawe heri kwao, nawapenda sana[emoji7] hakuna kinachokuja kwa wepesi lazima yawepo makwazo nk ila mmepambana aisee,, mmenifundisha kitu kikubwa sana,
Na wewe uoe.
 
Watumishi wa Mungu zama hizi wana kazi sana. Ndoa inafungwa mimba kubwaaa inabidi tu wafumbe macho hivyo hivyo vinginevyo wakijifanya kuwa wakali watakosa waumini
Kanisani si mahala pa watu wakamilifu, ukijiona mkamilifu baki na ukamilifu wako. Waache wenye kiu ya neema waende mbele za Bwana.
 
Back
Top Bottom