Hayawi hayawi yamekuwa form v selection hapaa!!!!

Hayawi hayawi yamekuwa form v selection hapaa!!!!

Mwali katolewa uwanjani. Wenye kulia wanalia, wenye kucheka ndo usiseme, wenye kuchanganyikiwa ndio hivyo tena. CHONDE CHONDE MSITOE ROHO ZENU KWA MATOKEO HAYA. ROHO ZINA THAMANI ZAIDI YA MATOKEO
 
Jamani naombeni mnisaidie kuangalia majina haya hapa RICHARD SIMON, PETER PETER, MALENDA NYANGUSI na PATRICK LUGANO
 
nisaidien kunchekia dogo langu anaitwa denis pascal amemalizia nyegina secondary!
 
Jamani mbona simu za kawaida hazifunguiiiii???? Mods tunaomba mtutengenezee vizuri.
 
Back
Top Bottom