hayawi hayawi yamekuwa......

ulivyoparamia bila kupima wenzio tunajali. na ile haipimwi kwa macho.

hahahaaa yaani mmesharukarukaa na watoto mkazaa na mimba nyimngine mmetoa wala hamkua na haja ya kupima, sasa hivi mnaona vikohozi vyenu vikavu haviponi, mnahara kama bata, na madonda yanawatoka ndiyo mnajidai eti ooohh tunaenda kupima, haya nendeni mkahakikishe ugonjwa wenu...!
 

Looo umesema yote dada unaongea kama umetiwa dvd. mtabaki na aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…