Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Looo umesema yote dada unaongea kama umetiwa dvd. mtabaki na aibu.
tena anaongea kama dvd iliyotafsiliwa na mkandala
hawa wakaa juu ya paa hawanipi hofu
ha haaa, PM kuna nini huko Bishanga?
usije ukamtoa roho Mamndenyi aone talaka inakaribia kabla ya ndoa, lol!
unafikiri talaka zinanoga? kashapata za kumtosha ngoja ale raha sasa na tajiri Bishanga...
cc. Nyani Ngabu
Za asubuhi..