hayawi hayawi yamekuwa......

Kongosho tatizo unapaniki,
hata hela ya makampuni siitaki,
najua hiyo akaunti inamilikiwa na benki kwa hiyo hela yote mnayoweka
inaenda kulipa madeni yako uliyokopa.
Mamndenyi ni mkulima halisi Bishanga keshaninunuliwa ekari zangu za kunitosha
hapa naona namna ya kutoa chumvi kwenye maji ya bahari
ili niweze kulima kilimo cha umwagiliagi maji, ni project ya pesa nyingi
sana hii lakini itafanikiwa tu;

Jidanganye

Mwambie akupe Memarts za makampuni, mie namiliki share 9 yeye 1

Hawezi kuachana na mie asilani, hivi mnatanua kwa pesa yangu? Nitamuua Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Bishanga pokea zawadi hii iwe kumbukumbu yangu kwako kila utakapomkumbuka Mamndenyi

View attachment HALELUYA.mp3

 
Last edited by a moderator:
Fixed Point kupima si ilikuwa jana!!!!
kama walitujuza kuhusu kupima basi na majibu watujuze
umeona eeeh!
mi naona longo longo tu hapa majibu hayaji.......
chezeya kuchukua majibu wewe?
kuna siku nilienda kupima, wakati nasubiri majibu ghafla hali ikabadilika...... nikaanza kujiuliza hivi kwa nini nimekuja kupima? bado kidogo nimwachie daktari majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…