Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Hayo magari yalikuwa ya nani?!
Kwa nini TRA ilitishwa kwamba ni ya ofisi ya Rais ilhali anuani haikuwa siyo?!
Kwa nini Kamishna wa TRA wakati ule aligwaya kuchukua hatua?!
Kwa nini Ikulu ya 2015 haikuchua hatua za kuyakana magari yale kwa kuingizwa nchini kwa ulaghai ni ya Ofisi ya Rais?!
KWA NINI KATIBU WA CHAMA 'FULANI' BAADA YA KUFICHULIWA MAGARI YALE ALIBADILIKA NA KUAMUA KU-RESIGN GHAFLA KATIKA HALI ISIYOTARAJIWA?!
Kwa nini yalifichwa?!