Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Inatisha!#kataawahuni
Kaka,ukiambiwa siri ya hayo magari utachukua uamuzi mbaya sana!Kwenye mambo kama haya kwakweli tutamkumbuka.
KWA NINI KATIBU WA CHAMA 'FULANI' BAADA YA KUFICHULIWA MAGARI YALE ALIBADILIKA NA KUAMUA KU-RESIGN GHAFLA KATIKA HALI ISIYOTARAJIWA?!
Ni Mchongo wa ''Msomali'' nini? Ila na yeye alikuwa alileta mrejesho?Kaka,ukiambiwa siri ya hayo magari utachukua uamuzi mbaya sana!
Zuga!Magufuli alisema alimtuma India kwenye matibabu lakini.
Alimfanya chambo eti aende kujiridhisha ile kampuni ya nani hasa ilhali jiwe alikuwa anaujua ukweli wote.Magufuli alisema alimtuma India kwenye matibabu lakini.
Kwaiyo ulitaka aache mijizi yenzenu ya kisukuma pale bandariniAssignment ya Kwanza ya Bi Tozo ilikuwa kutoa watu Bandarini
😥View attachment 2064136
Hayo magari yalikuwa ya nani?!
Kwa nini TRA ilitishwa kwamba ni ya ofisi ya Rais ilhali anuani haikuwa siyo?!
Kwa nini Kamishna wa TRA wakati ule aligwaya kuchukua hatua?!
Kwa nini Ikulu ya 2015 haikuchua hatua za kuyakana magari yale kwa kuingizwa nchini kwa ulaghai ni ya Ofisi ya Rais?!
KWA NINI KATIBU WA CHAMA 'FULANI' BAADA YA KUFICHULIWA MAGARI YALE ALIBADILIKA NA KUAMUA KU-RESIGN GHAFLA KATIKA HALI ISIYOTARAJIWA?!
Kwa nini yalifichwa?!
Duh huyu baba yako alikuwa anafanya kazi kwenye mazingira magumu sana.Pole kwa kumpoteza.View attachment 2064136
Hayo magari yalikuwa ya nani?!
Kwa nini TRA ilitishwa kwamba ni ya ofisi ya Rais ilhali anuani haikuwa siyo?!
Kwa nini Kamishna wa TRA wakati ule aligwaya kuchukua hatua?!
Kwa nini Ikulu ya 2015 haikuchua hatua za kuyakana magari yale kwa kuingizwa nchini kwa ulaghai ni ya Ofisi ya Rais?!
KWA NINI KATIBU WA CHAMA 'FULANI' BAADA YA KUFICHULIWA MAGARI YALE ALIBADILIKA NA KUAMUA KU-RESIGN GHAFLA KATIKA HALI ISIYOTARAJIWA?!
Kwa nini yalifichwa?!
Duh huyu baba yako alikuwa anafanya kazi kwenye mazingira magumu sana.Pole kwa kumpoteza.