Hayo maji yana kila aina ya uchafu.

Hicho ni kisiwa maarufu kwa uvuvi..kipo ziwa Victoria upande wa kenya.palikuwepo mgogoro kati ya kenya na uganda kuhusu hicho kisiwa.
Tumuamini nani kati yenu?
 
Nitoe mimi katika kujuwa nani wa kuamini.huenda nimekosea na kiungwana naombe radhi
 
panaitwa MAKOKO
 
Mkuu kwa LOGIC tuu kisiwa hakiko hivyo!!! Kiswa hwa kuna mpando wa ardhi juu!!
Nina hakika ndg,Bantu kakosea...
Wewe ingia google utaona...
Nimekuelewa sana mkuu na pia ndugu bantu amekiri kuwa alikosea nadhani alipachanganya na sehemu nyingine
 
Tumuamini nani kati yenu?
Mkuu ona MAKOKO
Nigeria
dailymail.co.uk
A mother backing her baby and
964 × 1443 - 141k - jpg
thecreatorsproject.vic...
Makoko water community.
1024 × 683 - 483k - jpg
 
Nakumbuka nilipaona hapo, kuna documentary moja inatwa... WELCOME TO LAGOS,its very interesting,I believe sisi Tz hatuna sehemu kama hizo mbali na umaskini wetu
 
Nakumbuka nilipaona hapo, kuna documentary moja inatwa... WELCOME TO LAGOS,its very interesting,I believe sisi Tz hatuna sehemu kama hizo mbali na umaskini wetu
Kwa masikitiko na hofu Kuna sehemu kadhaa TZ itarowa na kufurika maji hatimaye itashabihiana na hiyo!!! Uliza TMAA au wahusika ..wa "global warming"
Pole in advance!!
 
Wale walichokifanya ni land reclaimation,lile eneo lilikuwa tayari na maji tayari,
 
Kwa masikitiko na hofu Kuna sehemu kadhaa TZ itarowa na kufurika maji hatimaye itashabihiana na hiyo!!! Uliza TMAA au wahusika ..wa "global warming"
Pole in advance!!
Wale walichokifanya ni land reclaimation Hilo eneo lilikiwa tayari na maji.pole nawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…