Jipu
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 2,950
- 6,215
Hicho ni kisiwa maarufu kwa uvuvi..kipo ziwa Victoria upande wa kenya.palikuwepo mgogoro kati ya kenya na uganda kuhusu hicho kisiwa.
Tumuamini nani kati yenu?Mkuu hiyo NIGERIA napo palikuwa kama bone la Jangwani... kadri miaka ilivyoenda pakajaa maji na kutunga marsh (ongezeko la bahari na majitaka na mito) !!
Mungu apishe mbali kwetu huku kwenye mabonde panaweza kuiga mfumo wa kujaa maji na wakazi washindwe kuhama.....
GIUSEPPE Tuchukuwe tahadhari Ona Nigeria hiyo!!