Mada inahusika sambamba na kinachoendelea kwenye kura ya maoni kuelekea uchaguzi mkuu 2020.
Ndugu Mwenyekiti nadhani umepata picha halisi. Hayo malalamiko ya RUSHWA kila kona kwenye uchaguzi ndio uhalisia.
Zile jitihada zako bado hazijafua dafu. Nadhani unazo taarifa za wateule hatua hii ya awali. Si Bara wala Zanzibar hali ni hiyo hiyo.
Ndugu Mwenyekiti fedha imetembea kote na hata hao baadhi ya TAKUKURU na usalama wa chama nao wamenunuliwa.
Malalamiko ni mengi. Baadhi ya wabunge watendaji na wawakilishi wametoswa kwa chuki na rushwa.
Ndugu Mwenyekiti somo bado halijaeleweka na kazi IPO. Shida iliyopo kwa sasa ni kipi kitakuwa muhimu. Jee vita ya ufisadi itashinda au hofu ya kuvurugika chama itashinda? Si wateule wako wala wasaidizi wa chama baadhi wamekuangusha.
Naomba ufuatilie ujiridhishe.
Kishada