Wanaolalamikiwa ni wale waliotoa rushwa wiki ya uchaguzi lakini wale waliotoa rushwa kwa miezi mingi ya nyuma akiwemo Tulia Ackson hawajaguswaHali sio nzuri. Kuna mchangayiko was mambo.
Baadhi ya wateule walitembeza pesa.
Baadhi walifanyiwa fitna
Baadhi walibagukiwa na undugu was kimadaraka ulitawala
Yaani ni shida.Wengi walio chukua fomu kama sio wote, hakuna msafi hata mmoja. Bali walitaka kusafiria nyota ya Magufuli.. Viongozi wa Ccm asilimia kubwa ni wezi
Ila kuna walio piga kura vizuri sana. Kama Kigamboni, kule kwa Lugola, kule kwa Juma Nkamia, na wale ng'ombe walio katwa mikia. Pia kwa yule teja Mgimwa..Yaani ni shida.
Kuna baadhi ya maeneo wajumbe wamewachagulia wananchi MTU wasiyemtaka isipokuwa alitakiwa na wajumbe wa jimbo kwa masilahi yao zikiwemo fedha.
Ukisikia taarifa nyengine huwezi amini.
View attachment 1515165
Ha ha haaaaa, aise kazi ipo! Hawa ccm ni mchwa!
Aise, ccm ni mchwa! Yaani rushwa ikikoma ccm inafutika kbs!