GE2025 Hayupo kiongozi yeyote Duniani aliyewahi kushinda nguvu ya umma

GE2025 Hayupo kiongozi yeyote Duniani aliyewahi kushinda nguvu ya umma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kweli, suali linakuja MTATOKA? na nguvu ya Uma sio maandamano ya siku moja mkuu, watu wanapiga mawiki, mwezi
 
Ni suala la muda tu. ukweli ni kwamba hakuna kiongozi yeyote aliyewahi kushinda nguvu y umma.
Tusubiri October 29
Kwanza naunga mkono hoja, vox populi is vox Dei, ila wengi hamuwajui Watanzania, hawanaga Umoja wa kuunda hiyo nguvu ya umma unayoizungumzia, tuulize sisi wa longi, tunawajua Watanzania fika jinsi walivyo!.
Thread 'Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?' Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?

Tarehe 29 hakuna maandamano yoyote wala machafuko yoyote, watu tutajitokeza kwa wingi kwenda kutiki.
Utaniambia!.
P
 
kwa wingi ccm tu, tena wale kina mama, utaniambia. Na ndio utajua CDM ina nguvu pamoja na wapenda haki.
Wewe mwenyewe p, utatoka kutafuta ugali sio kwa nia ya kutiki,
 
Ni suala la muda tu. Unaweza ukawatisha watu kila muda washughulikiwe.

Unaweza ukajiita amiri jeshi mkuu, lakini ukweli ni kwamba hakuna kiongozi yeyote aliyewahi kushinda nguvu y umma.

Tusubiri October 29
Mbona hili wote wanalijuwa mkuu 'Magufuli'!

Kwani wewe hizi kelele zote unazosikia unafikiri ni za nini? Ni kuwa wanayo hofu kubwa sana.

Hizi jitihada za kueneza hofu ni kwa sababu wanaogopa hawa waTanzania wasipo kuwa waoga, wataimaliza hii kazi mapema sana
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom