Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Kwanza naunga mkono hoja, vox populi is vox Dei, ila wengi hamuwajui Watanzania, hawanaga Umoja wa kuunda hiyo nguvu ya umma unayoizungumzia, tuulize sisi wa longi, tunawajua Watanzania fika jinsi walivyo!.Ni suala la muda tu. ukweli ni kwamba hakuna kiongozi yeyote aliyewahi kushinda nguvu y umma.
Tusubiri October 29
kwa wingi ccm tu, tena wale kina mama, utaniambia. Na ndio utajua CDM ina nguvu pamoja na wapenda haki.Kwanza naunga mkono hoja, vox populi is vox Dei, ila wengi hamuwajui Watanzania, hawanaga Umoja wa kuunda hiyo nguvu ya umma unayoizungumzia, tuulize sisi wa longi, tunawajua Watanzania fika jinsi walivyo!.
Thread 'Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?' Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
Tarehe 29 hakuna maandamano yoyote wala machafuko yoyote, watu tutajitokeza kwa wingi kwenda kutiki.
Utaniambia!.
P
Mbona hili wote wanalijuwa mkuu 'Magufuli'!Ni suala la muda tu. Unaweza ukawatisha watu kila muda washughulikiwe.
Unaweza ukajiita amiri jeshi mkuu, lakini ukweli ni kwamba hakuna kiongozi yeyote aliyewahi kushinda nguvu y umma.
Tusubiri October 29