Usijari
Ipo siku ili jambo litatimia tu
Kama alikufa Magufuli basi hakuna kinachoshindikana
Kama Magu alikufa,naamini ipo siku katiba mpya itapatikana tu
Nilisoma hapajF kwamba yako mambo 72 yalipigwa chini kutoka kwenye ile Rasmu ya tune ya Mh judge Warioba ni yepe hayo? Nachiki ndicho kilicho sababishwackuzaliwa UKAWA.
Hawana uzalendo. Unaosemekana uzalendo ni kwa ajili ya matumbo yao.Rais anayeitizama Tanzania zaidi ya miaka 10 tu anayoamini anapaswa kuitawala.
Mzalendo wa kweli ambaye kwake Tanzania ni kubwa kuliko maslahi yake binafsi na chama chake.
Jambo lipi mdauUsijari
Ipo siku ili jambo litatimia tu
Kama alikufa Magufuli basi hakuna kinachoshindikana
Rasimu ya mabadiliko ya Katiba ya Time ya Warioba na Katiba pendendekezwa vyote lazima kuna vifungu,maoni au mapendekezo yake mengine yatakuwa yameshapitwa na wakati.Kumbuka kuna katiba ya Warioba na katiba pendekezwa.
Katiba pendekezwa ni katiba ya CCM. Katiba ya Warioba ni katiba ya wananchi.
Swali lako linaeleweka vyema, lakini tulipo kujikita huko itakuwa ni kama kupoteza muda tu kwa sasa.
La msingi, tulipo tunakubali mchakato huu kuanza baada ya 2025 au la?
Baada ya hapo ndipo suala litakuja pa kuanzia ni wapi? Na tofauti zilizopo ni zipi?
Kumbuka hata ile ya Warioba nayo kuna mambo imeshapitwa nayo wakati.
La kupata katiba mpyaJambo lipi mdau
Rasimu ya mabadiliko ya Katiba ya Time ya Warioba na Katiba pendendekezwa vyote lazima kuna vifungu,maoni au mapendekezo yake mengine yatakuwa yameshapitwa na wakati.
Muhimu ni makubaliano miongoni mwa wananchi,tunaanzia pale alipoishia Mh.Warioba na tume yake na kuboresha zaidi kwa weledi tukiwa na sober minds.Siyo wengine hawataki wengine wanataka.Tunahitaji makubaliano zaidi kuliko kingine ili Tanzania irejee katika nafasi yake ya ukinara wa siasa za Haki na amani barani Afrika na Duniani.
Wanaokataa Katiba mpya wameidhoofisha sana nchi yetu.Tunaweza kutengeneza Katiba ya mfano kushinda wengine Ila ubishi na ubinafsi Wa wana CCM umeidumaza nchi yetu.
Mungu wa Mbinguni akitaka lake lazima liwe, huu kwenye vitabu vya Musa unaitwa upako wa mnara wa Babeli lugha gongana. Hii kama sura ya Mh Waziri flani hivi.
Hii ndio sababu wengine tuna asa kwa nia njema wanaotuongaza. Itisheni mchakato wa katiba mpya muda si rafiki kwenu. Joto la kuidai Katiba mpya litakalo anza baada ya kanuni za mikutano ya kisiasa kutoka naona iko kila dalili litakuwa gumu sana kulihimili.
Ni bora huu mchakato ukanza na kuwa controlled na tukapata katiba ya manufaa kwa kada zote za kitanzania, muda si rafiki na hayuko wa kuuzuia uwe baada ya 2025. Labda wapewe hicho wanachokiita tume Huru ya uchaguzi wadau wairidhie, nasema labda.
Mtu safi mwenye hofu ya m/mungu anaanzaje kuogopa katiba?? Kiongozi ni mchungaji na kila mchungaji wataulizwa siku ya mwisho kwa vile vitu walivyovichunga,Ikumbukwe katiba iliyopo iliasisiwa kwa lengo la kuufanya utawala wa CCM kuendelea kudumu.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Rais gani wa CCM ataafiki uwezekano wa mabadiliko ya katiba ndani ya awamu yake ya kwanza katika 2 anazopewa?
Asijipende vipi mtu huyo?
Inawezekana ni kwa mantiki hiyo kwamba sarakasi hizi za katiba mpya iwe baada ya 2025 tunaziona sasa.
Mh. Rais Samia hana haja ya katiba mpya kwenye mitano hii labda kwenye ile mitano mingine!
Ni vizuri kuujua ukweli mchungu huu ili kuukubali au kuukataa.
Kunyoa au kusuka yote si ni uamuzi mikononi mwetu.
Stefano Mengele anajua vyema.