Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
"hayuko wa kuuzuia uwe baada ya 2025"Mungu wa Mbinguni akitaka lake lazima liwe, huu kwenye vitabu vya Musa unaitwa upako wa mnara wa Babeli lugha gongana. Hii kama sura ya Mh Waziri flani hivi.
Hii ndio sababu wengine tuna asa kwa nia njema wanaotuongaza. Itisheni mchakato wa katiba mpya muda si rafiki kwenu. Joto la kuidai Katiba mpya litakalo anza baada ya kanuni za mikutano ya kisiasa kutoka naona iko kila dalili litakuwa gumu sana kulihimili.
Ni bora huu mchakato ukanza na kuwa controlled na tukapata katiba ya manufaa kwa kada zote za kitanzania, muda si rafiki na hayuko wa kuuzuia uwe baada ya 2025. Labda wapewe hicho wanachokiita tume Huru ya uchaguzi wadau wairidhie, nasema labda.
Nimenukuu huo mstari. Umeandika utadhani uko Sudan au Mali au Gabon.
Watanzania wa kwenda kudai Katiba kwa style hiyo hawapo