Hazard cfc mwenzako nakuelewa

Hazard cfc mwenzako nakuelewa

Dogo komaa hapa hapa wewe,,,mbona kuna wakina tukinao kibao hapa wanatafuta viben 10?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnajua kuumiza roho za watu ngoja niende hospitali nahisi kichwa kinauma... [emoji23] [emoji91]
Napigania haki yangu... [emoji23]
Sitakiiii umenibia me nilikuwa nakaribia kukubaliwa sitakiii naenda kukusemea kwa mamaa...[emoji23] [emoji23]
Mstake n'cheke
 
Back
Top Bottom