[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]gyuleeee kumbeeee una mambo wewe nilikuwa sijuii kabisaaaaUjue nilishaga kuelewa kitambo sema mastory ya bonge yakanikata maini. Nna wivu balaa. Niliposema nijizoezoe nijikaze nilete salam ndio mzee mwenzangu akapandisha uzi. Dah! Sasa kwenye mambo yetu mkubwa akishajiweka inabidi kumeza jiwe kama mpambe wa kiranja wa malaika.
Morning mkuu mume wanguMorning cwt
Za uzima?Morning mkuu mume wangu
Loooh hiyo mkuu wallah haivutii kwa sisi wadadaNakuona mkuu demiss
Morning mamboooMorning mkuu demiss
Ni salama mkuu sijui wwZa uzima?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Loooh hiyo mkuu wallah haivutii kwa sisi wadada
Hapa siitikii....Ni salama mkuu sijui ww
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]gyuleeee kumbeeee una mambo wewe nilikuwa sijuii kabisaaaa
Umenishinda tabia
Khaaaaaa gyule umeanza lini ulogiiiii
Aiseeee usiniambie gyule ulizimikia mtoto ila ukachelewaLeka kabisa. Nasagile numusimbe
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]looh itakuwa umedhamiria gyuleJivu la kunguni nilipewa na Mr. Jr mzee wako. Nataka anipe dawa ya kismati naogopa isije kufanya kazi kwako ikaleta mtafaruku.
Aiseeee usiniambie gyule ulizimikia mtoto ila ukachelewa
Hapa siitikii....
Poleee sana nimepata uchunguu wa moyooooBado nauguza kidonda changu.
Hahaha tupo kwenye chitchat banaa....[emoji23] [emoji23]Mwamba mbona unataka kumpeleka kibabe kibabe mamsap? Hizi kauli za kijeshi ziepuke mkuu. Ameshakuelewa, na wewe muelewe.
Hahaha tupo kwenye chitchat banaa....[emoji23] [emoji23]
Hakikaa mkuuMahaba muhimu mkuu. Vitu vidogovidogo vinaongeza upendo na kuleta furaha.
Uwe na siku njema.