Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]gyuleeee kumbeeee una mambo wewe nilikuwa sijuii kabisaaaaUjue nilishaga kuelewa kitambo sema mastory ya bonge yakanikata maini. Nna wivu balaa. Niliposema nijizoezoe nijikaze nilete salam ndio mzee mwenzangu akapandisha uzi. Dah! Sasa kwenye mambo yetu mkubwa akishajiweka inabidi kumeza jiwe kama mpambe wa kiranja wa malaika.
Umenishinda tabia