Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
- Thread starter
-
- #41
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwaka wa kubebikaMambo ni moto mwaka wa mapenzi huu shouga
Yeeees watuache tulaleAcha movie iendelee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Baby wako yuko wapi?bado mimi tu kuandikiwa siredi ya kimahaba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kweli na kibaridi hiki safi kabisaYeeees watuache tulale
Unataka utuone mshipa?Leo kazi ipo. Hivi mnakulana kweli au ndo mnapakana tu mafuta kwa mgongo wa chupa
Watu wa Jf JJ sio wazurKaendà wapi paprika wako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sikuelewi da'vinci ujueNilikua natafuta ID yako ya zamani mwisho nimeipata. Pole
Wafuate piemuJamani mbona mi hajitokezi hata mmoja. Nafasi bado zipo [emoji3] [emoji3]
Hayupo [emoji2]Baby wako yuko wapi?
Yeeeeiiiiis up in the airduh aise
jamaa yangu john dilinga aka djjd ananiambiaga "love is in the air "
Huelewi nn JJ[emoji23] [emoji23] [emoji23] sikuelewi da'vinci ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana na Demiss tumefungulia njiaaaa
Mahaba nigaragazeMahaba Niue niponde ponde kama nyanya
Hatuwezi fanya hivyo da Rebecamapenzi mubashara.....hongera,msigombane mkabadili ID,lol
Viiiiipiebwana eeeh em haya
Umeona eeeekweli na kibaridi hiki safi kabisa
Yes! Yes!Umeona eeee