Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Ujumbe kwako kipenzi cha roho yangu hazard,mwanaume nikupendae kwa dhati.
Mwanaume ambaye sijawahi kuacha kukuwaza.Wewe ni zaidi ya mwanaume,hakuna mwanaume yeyote duniani anaweza kunielewa zaidi kama unavonielewa wewe.
Ni moyo wangu pekee ndio una uwezo wa kukwambia ni jinsi gani nakupenda,maneno yangu pekee hayatoshi kuelezea ni kwa jinsi gani nakupenda.Natamani niwe nimekutana na wewe tangu zamani.
Nakuelewa sana Hazard wangu,na haka kawimbo kawe special kwako,kila unapokasikia ujue kanauwakilisha moyo wangu kwako.
I love you so much my baby