Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ulimfanya nini hadi akapiga tukio ili apigwe ban ya maisha?Nitakuelekeza kila kitu..usijali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimfanya nini hadi akapiga tukio ili apigwe ban ya maisha?Nitakuelekeza kila kitu..usijali
Sijambo..mamboHujambo?
AbeeeeMama Naah
Hili baridi sio la kawaida kabisaaaNjoo tulale hebu...
Baridi hili
Hebu kuja kwanza...Hili baridi sio la kawaida kabisaaa
Kina Naah wangu sasa jamaniiHebu kuja kwanza...
Nimeshusha mapazia vizuri...
Eeh mama Naah..Kina Naah wangu sasa jamanii
Hahaha hahahaEeh mama Naah..
Au unaogopa jua limetoka?
Maliza kuwapa maziwa hebu..Hahaha hahaha
Hamna jua wala, watoto wanguu wanasubiria maziwa baba Naah
Hahaha hahahaMaliza kuwapa maziwa hebu..
Leo nafaa msuli tuu kama wachief wa mafia..[emoji23]
Wape piriton kidonge kimoja kimoja..[emoji23]Hahaha hahaha
Si mpaka walale akii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wape piriton kidonge kimoja kimoja..[emoji23]
Hahahaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi wewe
Mpaka majirani wajue akii...Tulale au tupigane vita ya 4 ya dunia...
Hebu nenda nje kule watoto wanatoka nje ya geti..Mpaka majirani wajue akii...
Mbona niko nao hapa mimi jamaniiiHebu nenda nje kule watoto wanatoka nje ya geti..